Asubuhi njema na Jamii forum (JF)

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
Je unajua kua ukiamka ukakunja na kutandika kitanda chako vyema inakupa 98% ya kukuonyesha mafanikio yako kwa siku hiyo

Je unajua kua...

1. Unaweza acha kuvuta sigara na vingine mda wowote unaotaka

2. Unaweza start exercising wherever you want

3. Unaweza kutembelea jiji lolote duniani unalo taka

4. Unaweza badili kazi mda wowote unao jiskia

5. Unaweza kuepukana na wadhalilishaji mda wowote unaotaka maishani

6. Unaweza start build your fortune mda wowote unao taka

7. Unaweza anzisha biashara yako mda wowote unao taka!

8. Unaweza kua na ndoa yako kwenye amani mda wowote unao taka

9. Unaweza make funy na watoto wako mda wowote unao taka

10. Unaweza anza making a good decision wherever you want

Usiishi kesho kama ulivyo ishi jana
 
Vyote vinawezekana...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…