moyomacho
Senior Member
- Feb 5, 2020
- 138
- 103
Ni siku njema kwa Jf wote, Mungu ni mwema na anatupenda. Najua wengi wetu tuna mshukuru Mungu asubuh tunapo amka na kabla ya kwenda kazini tunajikabidhi mikononi mwake, hii ni kwa madhehebu yote.
Pole kwa wote waliopatwa na shida na misukosuko mbalimbali ya kidunia asubuhi ya leo. Mungu awatie nguvu na awavushe salama.
Mungu awatangulie wote.
Nawatakia asubuhi njema na yenye baraka. Amina
Sent using Jamii Forums mobile app