Mimi nauliza nini kinasababisha unaamka asubuhi unajikuta kuna eneo la mwili limevilia damu na ilhali hujapigwa hujajigonga. Hii inatokea eneo dogo la mwili yaweza kuwa mkono, au mguu na maumivu kidogo lakini baada ya siku mbili tatu linapotea naomba mnisaidie majibu
Hiyo ni allergy na vipimo vyetu vya allergy hapa Bongo vya kubahatisha kama mganga wa kienyeji
Mara utaambiwa usile nyama na samaki na mboga na maharage cjui.utaishi vp? Bora peleleza inatokea unapokula nn ili uweze kuacha