moyomacho
Senior Member
- Feb 5, 2020
- 138
- 103
Mi kwa upande wangu Mchana, asubuhi, jioni vyote Leo havijaenda poa kabisa, kweli siku hazifanani kuna siku unapiga bingo mpaka unahisi mzeebaba alikuwa nyumma yako.
Nipo geto nimepumzisha akili najiandaa kwa siku ya kesho. Sema geto limepoa Sina company, Yan shida juu ya shida.
Kweli pesa ndo Kila kitu. Vp jioni yenu poa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo geto nimepumzisha akili najiandaa kwa siku ya kesho. Sema geto limepoa Sina company, Yan shida juu ya shida.
Kweli pesa ndo Kila kitu. Vp jioni yenu poa?
Sent using Jamii Forums mobile app