makinika18
Member
- Nov 16, 2018
- 77
- 108
Auzi achana nae.Ataje muuzaji mahali anapopatikana
Nipo mbez ya kimara (DSM)Ataje muuzaji mahali anapopatikana
Kama upo serious njoo inbox tutafanya biashara230,000/= IPO hapa
Badoimeshapata mteja?
Unapozungumzia toleo nakuwa nashindwa kukuelewa boss, ila specification za pc nimeshaziweka pale juuBosi hiyo ni toleo gani? Naomba unijibu kabla hujafanya biashara.
Sorry mkuu,haya haya mzigo mwengine huo sasa hii ni HP lqptop
RAM 4GB
HARD DISK 500GB
PROCESSOR NI 2.5GHZ
CPU NI CORE i5
kwa laki 350000 wahi fasta kabla haijachukuliwa, View attachment 959830View attachment 959831
Darasa la 3 D sio dhambi, mrekebishe tu kisha ujikite kwenye mada.... sio wote "wasomi" kama wewe.Sorry mkuu,
Una elimu gani?
Manake Uandishi wa Laki 250,000 au Laki 350,000 ni uandishi wa Darasa la 3 D