Berryblack
Member
- Oct 3, 2022
- 78
- 105
Tatizo PC inafanana na sabufaASUS TUF GAMING A15
CPU………AMD Rayzen 74800H
GPU………GTX 1650Ti. 4GB
RAM…….. 16GB DDR 4
ROM……..512 NvMe SSD
DISPLAY…..144 hz refresh rate
RGB KEYBOARD FULL
Kwa mawasiliano 0612630936 price ya hii pc 1.7M
Kivipi bro me nimeona kali sana hiiTatizo PC inafanana na sabufa
KUBWA Sana YAANI nzito kimwonekanoKivipi bro me nimeona kali sana hii
Sasa gaming pc unataka screen iwe ya inch 8 au me naona hiyi ndo unyama yaaniKUBWA Sana YAANI nzito kimwonekano
Asus ROG Zephyrus G16 je hiyo hapo juu iko sawa na hii kimwonekano na uzito sijaona ikiwa imefunilkwaSasa gaming pc unataka screen iwe ya inch 8 au me naona hiyi ndo unyama yaani
Kwanza zile external rgb backlight keyboard shi ngapi kwanza?