At a blink of an eye....! ( kufumba na kufumbua)

Hahahaahaaa!
Haters wa Samia Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake. Wameanza wazee watafuata vijana. Sie wengine tumetulia tu tunawacheki na kuwacheka mnavyoungua Kila siku na sumu zenu wenyewe za wivu, hila, uongo na ushetani .

Nje mada kidogo;
Samia Leo Yuko tena Shinyangaaaaaa kwa kina Baghosha, karibuni sana!!!
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha.......mwaka wowote ule wataondolewa tuu.
 
JE, JESHI LIMEGOMA KUTII AMRI YA RAIS?

Kuna taarifa zinasema Ndege iliyombeba Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina imeonekana angani kutokea Madagascar ikiashiria ya kuwa Rais Andry Rajoelina anaikimbia nchi baada ya Jeshi la Nchi hiyo kukataa amri ya kuwapiga wananchi wanaoandamana. Tunafuatilia zaidi juu ya ukweli wa habari hizi.
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 12 Oktoba 2025; Saa 16:50 jioni
 
Walimkata uume,? Huyu sijui watamkata nini
 
Serikali zilizoingia madarakani kwa mapinduzi huwa za hovyo kuliko walizoziondosha. Baada ya Samuel Doe kuondolewa Charles Taylor alikuja kufanya ukatili kuliko wa Doe. Hapa Tanzania kuna wapumbavu wanaamini mapinduzi ya serikali tukufu ya CCM ndo yataleta unafuu kwenye maisha yao bila kujua ndo itakuwa mwanzo wa Tanzania isiyotawalika na kukosa amani.
 
Bado siku nne ukiondoa hii inayoekea ukingoni
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…