Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Wakati mkewe akijifungua AT alikuwa tayari ameshasafiri kwenye nchini Uingereza ambapo ameenda kwa ajili ya show na ameondoka nchini tangu Novemba 4 mwaka huu.
Akiongea na DT, "Nipo nje kikazi lakini taarifa ninazo na nashukuru mungu kwani mke wangu ameweza kujifungua bila matatizo na kama unavyojua siku hizi wanawake wajawazito wamekuwa wakipata matatizo sana wakati wa kujfungua," alisema.
Wanaume wako so selfish wakati wa kumtafuta mko pamoja, wakati wa uzazi hayupo na anajua kuwa matatizo yanaweza kutokea wakati wa uzazi, hizo show zingepangwa baaada ya kuzaa, tena first born.
Hongera yake