LOL. Michelle, atarudi alikotoka, na atarudi mazima! kwa nini usimfungulie ujue kilichomsibu?
Kwani uwepo wako nyumbani ni wa hizo kazi hata majadiliano mazuri juu ya mipango ya maendeleo ya familia yanahitaji nafasi na muda mzuri wa kuyajadili hayosasa wewe na house girl..hamtoshi...
Bado na mimi nioshe vyombo ndo ufurahi???????
Karaha za nini maisha yenyewe mafupi haya Michelle mpendwa wangu,hivi wanajua hata maana ya ndoa hawa jamani,kuna tofauti gani kati ya mwenye mume na asiye naye,nadhani siku nikijua hiyo tofauti ntatafuta mume wa kunioa kinyume chake kulia na kucheka yote ni makelele...
"At most," sio "at least."
mwaka mzima nitake kujua kinachomsibu kila siku?? sijui kwanini sitishiki na hilo la mwanaume kuondoka mazima.....mi poa tu![/QUOTE
Michelle ya kweli hayo au utakuwa unalia kimoyomoyo
mwaka mzima nitake kujua kinachomsibu kila siku?? sijui kwanini sitishiki na hilo la mwanaume kuondoka mazima.....mi poa tu!
hii kali kweli umeoa mkeo aje kuosha vyombo,ningekuwa muolewaji ningekuomba unioe maana ningekunyoosha,ningekupigia ngoma hiyo mwenyewe ungekata kiuno na ungeenda kuwa mume kwa maana ya mume sio muoshewa vyombo.sasa wewe na house girl..hamtoshi...
Bado na mimi nioshe vyombo ndo ufurahi???????
sasa wewe na house girl..hamtoshi...
Bado na mimi nioshe vyombo ndo ufurahi???????
Kama yeye ni mwelewa akisahihishwa atashukuru na kujifunza. Wewe unachemka halafu unasema "si umemwelewa."Si umemwelewa lakini mkuu?
mwaka mzima nitake kujua kinachomsibu kila siku?? sijui kwanini sitishiki na hilo la mwanaume kuondoka mazima.....mi poa tu![/QUOTE
Michelle ya kweli hayo au utakuwa unalia kimoyomoyo
ha ha ha....nitakuwa nalia kimoyomoyo......mwanaume ninayempenda hawezi lala nje nikawa na amani ila lazima nijikaze kupinga tabia yake....
furaha hailetwi kwa mwanaume kuosha vyombo.....deki nyumba na kuogesha watoto
ha ha ha....nitakuwa nalia kimoyomoyo......mwanaume ninayempenda hawezi lala nje nikawa na amani ila lazima nijikaze kupinga tabia yake....
ukisoma sana magazeti nyumbani hadhi inashuka:wink2:
Akirudi kachelewa mi hufungua geti alafu namcheki machoni nijue kama ametoka kuchakachua au la. Aaah. Kuchelewa si issue, tunacho hofu ni kuwa ulikuwa na nani usiku mwingi?
Mara heaven forbid, mara utalia kimoyomoyo!ha ha ha....nitakuwa nalia kimoyomoyo.......mwanaume ninayempenda hawezi lala nje nikawa na amani ila lazima nijikaze kupinga tabia yake....
Mara atafunguliwa na nani, mara utajikaza!
Vipi bana!