Ngoja kwanza wenye wanaishi na wanaume watuambie, halafu na mimi nitasema.
habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya kutwa. Jamani hebu tusaidiane kwa hili, kwa asilimia kubwa baadhi ya wanaume hupenda kuchelewa kurudi nyumbani, hivi ni muda gani ambao mwanaume anapaswa awe amefika nyumbani baada ya kutoka ktk mihangaiko ya maisha.
Naamini nitajifunza kitu hapa. Thanx
michelle and others!, akirudi kuanzia saa tano to saa saba, is it fair.
sasa useme nini akati huishi na mwanaume?zaidi utachangia unafki na uongo tu.
Kumbe bado upo upo au sio?
aje asubuhi tu mradi yuko salama ..:wink2:
Uvumilivu huu siku mmeo akifa usishangae watoto wa nje wakazidi wa ndani,abiria chunga mzigo wako yoooo!aje asubuhi tu mradi yuko salama ..:wink2:
Mwanaume hachelewi kurudi nyumbani.
Akikukuta unapiga mswaki ndo atakuwa amechelewa.
Baba hachelewi nyumbani ...... bali huwa amehudhuria vikao vya wazee, vya kuwapaptanisha waliopishana, mihangaiko ya maisha, nk. na kama amepitia mahali, atakuwa amepitia kwake pia.....!habari ndugu zangu, poleni na majukumu ya kutwa. Jamani hebu tusaidiane kwa hili, kwa asilimia kubwa baadhi ya wanaume hupenda kuchelewa kurudi nyumbani, hivi ni muda gani ambao mwanaume anapaswa awe amefika nyumbani baada ya kutoka ktk mihangaiko ya maisha.
Naamini nitajifunza kitu hapa. Thanx