Khaaa?? Nae vipi? Si angewaambia tu kwa muda ule maandamano yao ni batili, dhahiri shahiri!? Na pia wasimjaribu maana watakiona cha mtema kuni. Wawe na hishma na Shem wao.
[emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]