Ungeandika tu kwa kiswahili mkuu.Hakuna nilichoelewa hapo!guys if your walking normal or properly please praise the lord people are suffering to the extreme i felt sorry when i visited such place i never saw peoples with serious problem like that my mind up to now changed in such a way that i feel like anytime i will be in wheel chairs and some body is pushing me as i can no longer walk on my self .guys let us pray whatever we are doing so that god can protect us from this painful and terrible problems
Anasema ukiwa mzima. Umshukuru mungu. Alikwenda moi. Taasisi ya mifupa. Watu wapo kwenye Hali mbaya mpaka anahofia IPO siku atakaa kwenye kiti cha magurudumu.Ungeandika tu kwa kiswahili mkuu.Hakuna nilichoelewa hapo!
ExactlyMOI habari nyingine mkuu. Niliingia ICU kumuona Babu yangu alipata ajali. Watu wanakoroma humo hatari. Mtu mzima amelala hajitambui anapumulia mipira huku kavalishwa pumpers.
Acha tu tumshukuru mungu
Well noted mkuuguys if your walking normal or properly please praise the lord people are suffering to the extreme i felt sorry when i visited such place i never saw peoples with serious problem like that my mind up to now changed in such a way that i feel like anytime i will be in wheel chairs and some body is pushing me as i can no longer walk on my self .guys let us pray whatever we are doing so that god can protect us from this painful and terrible problems
Unaandika au unaandikaandika?guys if your walking normal or properly please praise the lord people are suffering to the extreme i felt sorry when i visited such place i never saw peoples with serious problem like that my mind up to now changed in such a way that i feel like anytime i will be in wheel chairs and some body is pushing me as i can no longer walk on my self .guys let us pray whatever we are doing so that god can protect us from this painful and terrible problems
aisee baada ya kwenda pale nimekumbuka ule msemo wa kiengerza una sema we are walking deadMOI habari nyingine mkuu. Niliingia ICU kumuona Babu yangu alipata ajali. Watu wanakoroma humo hatari. Mtu mzima amelala hajitambui anapumulia mipira huku kavalishwa pumpers.
Acha tu tumshukuru mungu
mm nahisi siku wakipata majanga ndo watajua hiv hiv huwez kumsikia mtu .lakn siku ikitokea nadhan kujidai kote kutaisha maana somo linakuwa limetoshaPanya wa CCM hutawaona kwenye huu uzi japo kuna ujumbe muhimu sana mpk kwa Mwenyekiti wao.
Si afadhali wewe ulikumbuka msemo wa kiingereza. Mimi mwili wote ulikuwa wa baridi. Nikajihisi kama sipo duniani.aisee baada ya kwenda pale nimekumbuka ule msemo wa kiengerza una sema we are walking dead
Kweli mkuumm nahisi siku wakipata majanga ndo watajua hiv hiv huwez kumsikia mtu .lakn siku ikitokea nadhan kujidai kote kutaisha maana somo linakuwa limetosha