AT: nimeshtushwa kuvuliwa URAIA wa ZNZ

AT: nimeshtushwa kuvuliwa URAIA wa ZNZ

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
54,762
Reaction score
59,204
AT

msanii AT kutoka ZANZIBAR amesema ameshtushwa SANA na kauli ya banda la SANAA la ZNZ kwamba YEYE sio RAIA wa ZNZ.
stori kutoka Zanzibar zinaamplfy kwamba, kuanzia sasa kwa sababu msanii huyu maarufu kwa nyimbo za MDUARA anaishiTanzania BARA, itabidi awe analipia anapokwenda kufanya showz ZNZ.
AT amesema “mimi ni mzaliwa wa ZNZ, nimezaliwa sehemu inaitwa MWEMBELADU na watu wote wananifaham, sasa isiwe jazba za matu mmoja zinaniharibia, WAMENIDHALILISHA manake kumvua mtu uraia ni KOSA KUBWA sana, ni sijawasamehe kabisa wanaione MAKUSUDI, wakati wao hata sio UHAMIAJI”
ameongeza kwamba, “naomba nirejeshe vitambulisho vyote, naomba niwape karatasi za kuzaliwa, mtizame alaafu mnitafutie nchi yangu mnipeleke ndani ya saa 24″ – AT
hii ishu imetokea siku moja tu baada ya AT kuamplfy EXCLUSIVE kwamba video yake ya bao la kete imefungiwa kuchezwa katika TV visiwani humo kutokana na kutokua na maadili.
 
Raia wa Zanzibar ni mtu wa aina gani?
 
Nilimsikia jana akifunguka kwenye Mitikisiko ya Pwani, Times FM.
 
Mhh. Hii nayo kali.
Jamani tuwe makini tukitaka kusema chochote si hivyo tutachanganya watu akili. Hakuna uraia wa Zanzibar.Uraia uliopo ni wa Tanzania. Kila mzanzibari ni Mtanzania. Hakuna passport ya Zanzibar ,kuna passport ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kama ulivyo uraia. Kilichopo Zanzibar ni vitambulisho vya ukaazi ( Zanzibar identification card). Hivi hutolewa kwa kila raia wa Tanzania anaeishi Zanzibar kwa muda unaokubalika kwa mujibu wa sheria na kanuni zilizowekwa. Nani kakuvua uraia wa Zanzibar wewe ambao haupo???
 
Tatizo letu Watanganyika tunalazimisha sana huo muungano,lakini wao hawautaki hivi tunang'ang'ania nini huko?
 
Thank you very much for this useful information.
 
Zanzibar ni nchi kwani? Asiwe na wasi wasi yeye ni raia wa Tanzania.
 
jamani mwenye hiyo video ya bao la kete aiweke hapa basi
 
Hili swala la vitambulisho vya ukazi wa Zanzibar na watu wa bara kuwa na barriers to trade Zanzibar linavunja katiba ya Tanzania inayompa haki Mtanzania kuishi na kufanya kazi popote Tanzania.
 
Tatizo letu Watanganyika tunalazimisha sana huo muungano,lakini wao hawautaki hivi tunang'ang'ania nini huko?

Mi naona bora muungano uvunjwe 2 maana hawa2saidii chochote.
 
Tatizo letu Watanganyika tunalazimisha sana huo muungano,lakini wao hawautaki hivi tunang'ang'ania nini huko?
In my opinion the union in it's currrent form is maintained and protected to maintain Nyerere's legacy and nothing else.
 
Wasanii wetu waende shule inasikitisha sana kuona msanii mkubwa wa bongo ajui haki zake,atafute mwanasheria wa kumsaidia,pia shule ni muhimu sana inasikitisha sana kwanza yeye ni rahia wa tz hivo asijali,lakin alijui ilo
 
michael jackson,jayz na kina tupac wote hawakwenda shule
usitukane watu kwa matatizo ya nchi kuendeshwa vibaya
 
Back
Top Bottom