Atachaguliwa kujiunga na vyuo vya ufundi vya serikali ana div3

Benny marando

Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15
Reaction score
1
namatokeo yake yako kama ifuatavyo:- phy -c,chem-d math-c kwa upande wa sayansi naalichagua chaguo la kwanza civ enger
 
Kuchaguliwa hawezi mkuu !
Ana D ya chemistry !
 
Asipochaguliwa anaweza kutuma maombi kwenye hivyo vyuo kama DIT, MUST na ARUSHA TEC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…