Elections 2010 Ataendelea kuitwa Benson Bana au Bansen Bunner?

Gurudumu

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2008
Posts
2,349
Reaction score
264
matokeo ya awali ya Uchaguzi yakiemdelea kuonesha kutofautiana na tafiti za Redet na synovate. Je, taasisi zilizofanya utafiti na kutoa matokea hayo ziendelee kufanya kazi zao hapa Tz? Watendaji wao waliohujumu sayansi ya utafiti je?
 
sipendi hata kusikia uchafu unaoitwa Redet na synovate wachumia matumbo. watakiona cha mtema kuni.
 
Kwa kweli wanatakiwa wanyanganywe Leseni zao kabisa na hata wananchi wanatakiwa wasiwape ushirikiano hata kidogo maana wanawasumbua bure
 
watakuwa kundi moja na mchawi yahaya shame to them awawezi kuisemea mioyo ya watanzania kwani kura siri ya mtu lakini safari hii kiboko
 
jamaa nadhani sasa hivi anajiharishia tu huko aliko
 
SYNOVATE-SINA VYOTE , REDET-Naomba mjazie hapa
 
Synovate ni kampuni ya wakenya inayoongoza tafiti za kusaidia kampuni za Kenya kuinyonya tz. Viongozi wa Redet ni vilaza wanaofikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa
 
Yaitaji roho ya wazimu kusema 'Tumepunjwa lakin tutashinda kwa zaidi ya 80%!'
 
achana na hawa wanajimu bwana. hawa sio watafiti bali ni wanajimu by somehow
 
Is a simple labolatory stove which is used for heating

- George Akerlof anasema there is nothing as bad as being seeing as a lemon. Reputation damage is worse than anything you know. Hawa jamaa wameisha contaminate brand zao labla wabadili majina ndiyo wananchi watawaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…