Aache Ushirikina gani Mgonjwa huyo amesha rogwa na majirani zake anacho takiwa kutibiwa huyo sio mzima kabisa muone hata anacho kiandika haki eleweki kabisa.Acha ushirikina weee. Nenda shule ukasome
Ndugu zangu,
mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote we never give u
p united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals.
binafsi mimi ndio muhanga na muahthirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu....trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky na mambo mengi mabaya kwa binadamu..there comes a times it feels like the world is upon my shoulder..can't take this shiit no more nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dlhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake ain't fear death!! because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy..
nilikuwa na plan ya kutafuta anyone with the solution kwa maaana ya traditional healer au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama its a waste of time watu nao wamekuwa matapeli tu nowdays..yaani we living in craaaazy time folks!!! nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hoola!!! hell no!! mungu ananitaka mwanae si bure...na he is the master of the people so far so am good to go.....though ukioniona live huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa!! huwezi!
nimetoa dukuduku langu nahisi kama relief flani nimepata...!
kila la kheri wandugu.....
Acha ushirikina weee. Nenda shule ukasome
Unasema unaumwa lakini husemi ni unaumwa kitu gani mkuu! Sasa utasaidiwa vp?
Ili uweze kumuagua mtu aliyelogwa ni lazima na wewe uwe mshirikina. Kwa hiyo wewe uko upande gani MziziMkavuWewe hao Majirani wanao kuroga unachotakiwa utibiwe kwanza kisha ufanyiwe dua za kinga kisha wajaribu tena hao wana kuroga mwisho wao utawaonea huruma. Si umesema umekwenda Hospitali mpaka kuombewa na wachungaji hujapona? Wasiliana na Mimi MziziMkavu hauchimbwi Dawa Pole sana.
Unasema unaumwa lakini husemi ni unaumwa kitu gani mkuu! Sasa utasaidiwa vp? Na umesha hukumu kwamba unalogwa! Who told you that? Sangoma? Hebu eleza dalili za maradhi yako na umeshafanya vipimo gani mpaka sasa ili usaidiwe ushauri mkuu.
Wachungaji wanao waaguwa waliorogwa ni washirikina pia? Bwana YESU aliwatowa Watu Mapepo Wachafu naye pia Bwana Yesu alikuwa ni Mshirikina? hebu nijibu hapo?Ili uweze kumuagua mtu aliyelogwa ni lazima na wewe uwe mshirikina. Kwa hiyo wewe uko upande gani MziziMkavu
Kaka mi kifua kinabana sana nashindwa hata kufikiri kwa kina, nasahau hovyo hovyo, kichwa kinauma, mwili wote unawaka moto, ndoto za ajabu ajabu, mkosi na hakuna anaenipenda kwa sasa isipokuwa mama yangu mzazi tu...naambatana na mikosi ya ajabu!! N.k
Yaani hali tia maji tia maji kaka sokwe!!
wewe ni ke au mee
Umewahi kuishi nje ya Tanzania? Jaribu kubadili mazingira aisee, sometimes ni psychological problems ndio zinakusumbua. Pia mcheki Mzizi mkavu anaeza kukupa ushauri[/
Kaka hilo nalo laweza kuwa na ukweli ndani yake ila nasita kukubali moja kwa moja kwamba suala hili liko kwenye traumatic experiences and psychological aspects hapana sidhani kaka...I can feel something stranger within my body...enhee!!