Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Pole sana, nimeona uzi wako wa leo.
 
Mshana mbwe mbwe nyingi [emoji38]
 
Pole sana mpendwa mwangalie BWANA katika mapito yako
 
 
Mkuu kabanga pitia hapa kwenye uzi wa mwenzetu ambaye anajihisi kuumwa kuumwa, Mungu atamsadia apone.
 
Mkuu pole sana.Nitafute kwenye no. 0784269805 nikupe ushauri bure utakaomaliza hili tatizo lako once and for all.Bila kujali dini au dhehebu lako.Karibu sana mkuu.
 
Naona ilikuja gundulika baadae kuwa ni cancer. Mungu azidi kumsaidia kijana huyu mdogo. Kuna thread yake ameandika leo.
 
Naona ilikuja gundulika baadae kuwa ni cancer. Mungu azidi kumsaidia kijana huyu mdogo. Kuna thread yake ameandika leo.
Wewe unamuamini kabisa hizi thread zake, huyu anatatizo la kisaikolojia, humfanya mtu kuonewa onewa huruma hivi, kitaalaam tunaita ' Sympathy seeking disorder'. He feeds on sympathy.
 
Kaka heshima kwako! Ila kama hujaumwa hilo tatizo la huyo kijana, mm nilikuwa nalo na nikaambiwa nina matatizo ya akili. The thing about mold & mycotoxins yana damage kiasi kikubwa ubongo wako kiasi kwamba unakuwa emotion sana na ni kweli unaweza kuwa na attention seeking disorder au kujiona victim wa mambo mengi.

Nikishawahi kumshauri huyu dogo 2013! Kwasababu niliugua kama yeye, lakini hakuwa kunisikiliza possibly amepata cancer ya ini! Kwasababu ukiwa na hilo tatizo lazima ufanye body detox baada ya kutibiwa, tangu kipindi hicho mpaka leo siwezi kujua ametumia madawa gani plus accumulation ya hizo toxins za tatizo la mwanzo huenda zimepelekea kuwa na hiyo cancer.

Kuna maradhi duniani mengine ukiambiwa yapo huwezi kuamini unless uwe umekutana nayo kama mm na hii sio hadithi ni kweli.
 
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hayo maswahibu tu Mora atayamalza mkuu usikate tamaaa na pengne ukawa mtihan tu Kat yako na Mungu wako tu usikate tamaa narudia tena
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…