Usihukumu brooWewe unamuamini kabisa hizi thread zake, huyu anatatizo la kisaikolojia, humfanya mtu kuonewa onewa huruma hivi, kitaalaam tunaita ' Sympathy seeking disorder'. He feeds on sympathy.
Mtu mwenye matatizo namna hiyo huwa haaniki matatizo yake mtandaoni, bali he confides na watu wa karibu yake, this is very serious, huyu hawezi kuwa anasema ukweli, he feeds on Sympathy and attention, believe me. Mtu yupo JF toka 2013, hadi leo ni member, na anaonekana ni mzoefu wa kutumia JF, sasa hii sio account yake ya kila siku, ili miezi minne ikiisha anaacha kuitumia hii na anarudi kwenye account yake ya siku zote.Usihukumu broo
Jaribu kucheki ananyuzi ngapi na amechangia mara ngapi na katika nyuzi gani na alikuwa anazungumzia niniMtu mwenye matatizo namna hiyo huwa haaniki matatizo yake mtandaoni, bali he confides na watu wa karibu yake, this is very serious, huyu hawezu kuwa anasema ukweli, he feeds on Sympathy and attention, believe me. Mtu yupo JF toka 2013, hadi leo ni member, na anaonekana nj mzoefu wa kutumia JF, sasa hii suo account yake ya kila siku, ili miezi minne ikiisha anaacha kuitumia hii na anarudi kwenye account yake ya siku zote.
jamaniii mbavu zangu!!!!!!anachokiandika
Unataka utibiwe ili usiwe unachanganya lugha ya kiswahili na kiingereza? Mbona iko poa tu kwani hata bungeni wanachanganya.Ndugu zangu,
Mimi ni kijana wa pekee na wa mwisho katika familia yetu yenye jumla ya watoto sita. Ni familia ya kimaskini ila watoto tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha tunapunguza ukali wa maisha hapa nyumbani kwa kufanya kazi bila kuchoka usiku na mchana ila changamoto kubwa imekuwa husuda na kijicho kwa majirani zetu ambao wanahaha kushika shati familia hii kwa ushirikina lakini mbali na hayo yote (we never give up united we stand and moves foward regardless our acceleration toward our goals).
Binafsi mimi ndio muhanga na muathirika mkubwa kwa hili gumu kwani kwa zaidi ya miaka 19 hadi sasa ndugu zangu sijawahi kuwa na furaha maishani mwangu, (trust me its all about misery, sickness, lack of affection, unlucky) na mambo mengi mabaya kwa binadamu.
(There comes a times it feels like the world is upon my shoulder can't take this shiit no more) nimejaribu kuwa mwema, muungwana na mnyenyekevu kwao bila mafanikio sitaki kuchuma dhambi tena kwa mateso niliyopata katika dunia hii imetosha Mungu ni mwema atanipumzisha milele kiumbe wake (ain't fear death because its inevitable am ghood to go for it for their happiness and fantasy).
Nilikuwa na (plan) ya kutafuta (anyone with the solution) kwa maana ya (traditional healer) au yeyote mwenye productive ideas aweze nisaidia NITOE AWARDS ya tshs milioni moja but naona kama (its a waste of time) watu nao wamekuwa matapeli tu (nowdays).
Yaani (we living in crazy time folks) nimetibiwa na wataaalamu wa tiba asilia, hospitali za rufaa na kuombewa na wachungaji lakini hooa hell no! Mungu ananitaka mwanae si bure na (he is the master of the people so far so am good} to go though ukioniona( live) huwezi hata kuhisi kama mimi ni mgonjwa huwezi.
Nimetoa dukuduku langu nahisi kama (relief) fulani nimepata.
Kila la kheri wandugu.
The only way mtu anaweza kuwa mzoefu wa JF na akabaki kuwa member for over 5 years ni if hiyo account ni ya kuzugia tu, ila ipo ambayo anaitumia kila siku, he is an attention and sympathy seeker,either ana matatizo ya kisaikolojia au ni tapeli!Jaribu kucheki ananyuzi ngapi na amechangia mara ngapi na katika nyuzi gani na alikuwa anazungumzia nini
Aache Ushirikina gani Mgonjwa huyo amesha rogwa na majirani zake anachotaka kutibiwa huyo sio mzima kabisa muone hata anachokiandika hakileweki kabisa.
Wajinga nio waliwao bro. Asipobadilika ataendelea kugawa fedha kwa vigagula mpaka akome.You make me sad honestly.. Kwann hutaki kufanya vipimo nilivyo kushauri, utakwenda bugando hata miaka 100 Kama utaweza kuishi hutopata jibu kwasabab nimekuambia tatizo Hilo linalosumbua familia yenu bado lipo kwenye research, madaktari hawajaanza kufundishwa bado! Tuma urine and blood sample marekani watakupima baada ya week 2 utakuwa umepata majibu, kwann usinipatie namba ya simu ya member yoyote wa familia yako au mama yako pengine atasikia, kuna sababu gani ya kuomba msaada wakati umeshafanya conclusion kwamba umelogwa? Why are you here then!
Ndugu hujui mateso huyo ndugu anatatizo La sononi ndilo kwanza linalomsumbua..unadhani ni nini kitakacho kaa kichwani hata akienda shule gani..ushauri wangu kwake aende kwa matabibu wa akili na ufahamu (saikolojia) na baada ya kutoka huko ugonjwa wake utaonekana tu akienda katika hospital yoyote yenyevipimo vya uhakikaAcha ushirikina weee. Nenda shule ukasome
Mimi Sio mshirikina mimi ni Mtibabu waTiba za Asili kwa kiingereza unaweza kusema mimi ni Herbalist. Kazi kwako na imani yako potofu ya ushirikina.Ili uweze kumuagua mtu aliyelogwa ni lazima na wewe uwe mshirikina. Kwa hiyo wewe uko upande gani MziziMkavu
Afu sijui anaendeleaje jamani,maana kuna Uzi wake anasema ameambiwa na Daktari amebakisha miezi 4 ,inahuzunisha kwakweli[emoji25] [emoji25]Dah aisee huyu dogo thread zake zinasikitisha sana
Ndugu zangu,