Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.
Mkuu ulichobugui kuchanganya kizungu na kiswahili maana ake lugha yako ya kiswahili huikibali sio?
 
MPUMBAVU WEWE... ACHANA KABISA NA MAWAZO YA USHIRIKINA.. TATIZO UNALO WEWE MWENYEWE KWA KUTAFUTA MSAADA KWA WASHIRIKINA NA KUMHUSISHA MUNGU. CHAGUA UPANDE MMOJA. NAKUSHAURI UMCHAGUE MUNGU WA MBINGUNI MUUMBA WAKO.. YEYE ANAWEZA KUKUPONYA MUDA HUU. ACHA KABISA KUSHIRIKI UPUMBAVU WA WAGANGA. HAKUNA MWANADAMU MWENYE UWEZO WA KUKUSAIDIA.
 
Punguza munkari, kwasasa mkuu folk ametangulia mbele za haki
 
Mungu ameruhusu apumzike na maumivu ya kansa,

Japo alikejeliwa sana, tujifunze kuwasaidia watu, kwa kuvaa uhusika wao na kuwapa matumain
Habari uyo jamaa aliyetangulia mbele za haki unamjua?
 
Hizi comments zako zaonyesha we ni mtu wa type gani.....Shame!
Mungu atakuponya mkuu
 
Pole. Leo naenda kwenye maombi mahali fulani. Nitumie jina lako kwenye pm ili niende nalo pale. Mungu wetu ni mwema naamini utakuwa mzima tena. Na hiyo hela yako utamtolea Mungu sadaka ya shukrani.
Alikutumia jina? Inasemekana marehemu alikuwa anaitwa Patrick na alishafariki je ni kweli?
 
Daah! bro hongera sana hakika ulikua na nia ya dhati kabisa ya kumsaidia huyu ndugu yetu sema sijui kwanini alikua anasita kuwasiliana na wewe.

Utalipwa kwa nia yako njema na je ulishaenda kwenye Tv kuongelea juu ya hao Mold??

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
anaitwa Mama Apasia kutoka stand yq uchira hadi alipo unaweza kutembea au umpe bodaboda 1000 dawa yake ni 50 utakunywa mara 3 anasaidia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagonjwa wa kansa wengi wanapenda kupuuzia ila kansa ni hatari saaana.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…