Amina mpendwa! Bila shaka nitakutumia kwani nahisi nimefungwa hata kufanya maombi ya namna yoyote ile kwani mara kwa mara napanga nifunge na kuomba kanisani lakini ghafla napoteza kabisaa morali na munkari wa kwenda kanisani.
Siku zote mungu ni mwema, hatanifungua tu siku moja na pesa hii nitaenda kuimarisha kazi ya mungu.
Hallelijah!!
Jitahidi kutumia luga moja unapo eleza jambo, itaonyesha kujiamini kwako lakini hii mseto ,watu we gi wenye busara hawapendi vitu hivi, utachelewa sana
Unaweza kusumbuliwa na mold kwa miaka na wala usijue mkuu! Amini usiamini, kuna watu wapo sensitive na mold sana kuna aina Fulani ya gene umezaliwa nayo Kama Mimi ni aidha ipo kwa baba yako au mama, au inawezekana huna hiyo gene ila umekuwa exposed na mold kwa muda mrefu still utakuwa unahitaji matibabu, utakwenda bugando hutopata daktari anayetibu mold boss, tatizo Hilo lipo bado kwenye research, marekani ni nchi pekee inayoongoza kwa research duniani kuna physicians 500 tu! Marekani wenye uwezo wa kutibu Hilo tatizo ila kwasababu mind yako umesha ipeleka kwenye uchawi/lucifer Sidhani Kama you will take this issue serious, kuna labs marekani zenye uwezo wa kupima Hilo tatizo, Kama ungeweza kuwatumia mkono na damu yako wangeweza kupima na kukupatia majibu hata Mimi nikifanya hivyo kabla ya kwenda kimatibabu ila kwa bongo sina uhakika Kama taratibu hizo za kutuma samples kwa vipimo nje ya nchi zipo, kila la kheri.
MziziMkavu asante kwa neno.
Kaka mi kifua kinabana sana nashindwa hata kufikiri kwa kina, nasahau hovyo hovyo, kichwa kinauma, mwili wote unawaka moto, ndoto za ajabu ajabu, mkosi na hakuna anaenipenda kwa sasa isipokuwa mama yangu mzazi tu...naambatana na mikosi ya ajabu!! N.k
Yaani hali tia maji tia maji kaka sokwe!!
Mzizi mkavu unapenda kweli ishu hizo. Naona mkubwa umeishapata deal hapa. Kweli huyu jamaa ni crazy mzungu utafikiri aliishiiafrika miaka kumi na kumi mingine akaenda marekani na sasa ndiyo amerudi na majinsi majinsi yake ya viraka.Aache Ushirikina gani Mgonjwa huyo amesha rogwa na majirani zake anachotaka kutibiwa huyo sio mzima kabisa muone hata anachokiandika hakileweki kabisa.
Wewe una upungufu wa maji mwilini. Kunywa maji ya kutosha kila siku mpaka lita tatu na nusu na utafune chumvi ya mawe kila mara. Aliyekuambia umerogwa ni nani? kunywa maji fanya maombi utapona tu pia zingatia kuhama hiyo nyumba/mtaa.
Mkuu hadithi zimepotelea wapi? Tunazisubiri kwa hamu.Wewe hao Majirani wanao kuroga unachotakiwa utibiwe kwanza kisha ufanyiwe dua za kinga kisha wajaribu tena hao wana kuroga mwisho wao utawaonea huruma. Si umesema umekwenda Hospitali mpaka kuombewa na wachungaji hujapona? Wasiliana na Mimi MziziMkavu hauchimbwi Dawa Pole sana.
ah...pole
Wachungaji wanao waaguwa waliorogwa ni washirikina pia? Bwana YESU aliwatowa Watu Mapepo Wachafu naye pia Bwana Yesu alikuwa ni Mshirikina? hebu nijibu hapo?
Mimi kazi yangu kuwasaidia watu walioshindwa kutibiwa Ma-Hospitalini mimi huwa simtibu mtu jambo la kwanzaninamuambia aende Hospitali akapime Damu, Mkojo,Ukimwi na X -Ray ahakikishe ugonjwa aliokuwa nao hauwezi kutibika Ma-Hospitalini ndio mimi hapo nina anza kumtibia Mkuu Eberhard Dawa zangu ninatumia Natural Herb spice situmii Hirizi wala Tunguli Mkuu angalia hii picha hapo chini.Mzizi mkavu unapenda kweli ishu hizo. Naona mkubwa umeishapata deal hapa. Kweli huyu jamaa ni crazy mzungu utafikiri aliishiiafrika miaka kumi na kumi mingine akaenda marekani na sasa ndiyo amerudi na majinsi majinsi yake ya viraka.
Nina Uzoefu wa zaidi ya miaka 20 na matatizoMzizi Mkavu unaonekana una uelewa wa juu wa haya mambo lkn nikuulize maswali; utajuaje huyu kalogwa na huyu anaugua maradhi ya yanayohitaji tiba za hospitali??? Utajuaje aliyemloga ni jirani yake??? Na kama ni kweli kalogwa unatumia ramli kumuagua au imani za dini???