Atakaenisaidia hili nitampa Tsh Milioni moja taslimu

Status
Not open for further replies.

Asante kwa uzoefu wako juu ya hili kaka mshino, historia ni mwalimu mzuri tunaweza tumia vizuri kuendelea mbele.

Hakuna matata, kwa lolote nitaweka mrejesho hapa mungu akituweka hai.

Kila la kheri!
 
Tfadhari usipuuze ushauri huu, kwaani ndg yetu tuliyemteza familia yote inajua kuwa alilogwa kupitia mkewe, lkn baada ya kifo chake baadhi tulifanya utafiti na kugundua kuwa ndg yetu aliwahi kudondoka kwenye jukwaa wakati wanajenga kwaani fani yake ilikuwa fundi ujenzi. na alikuwa akilalamika kuumia mikono baada ya muda fulani mara miguu ina waka moto baadae akapata nafuu. ilivyokuja kuwa hali mbaya alikuwa anasahau, anazimia, hana nguvu utafikiri mgonja wa HIV.

Asante kwa uzoefu wako juu ya hili kaka mshino, historia ni mwalimu mzuri tunaweza tumia vizuri kuendelea mbele.

Hakuna matata, kwa lolote nitaweka mrejesho hapa mungu akituweka hai.

Kila la kheri!
 
Huyu ndugu familia yote wagonjwa ila inaonyesha yeye ni zaidi! Sasa hayo maradhi ya uti wa mgongo wanaumwa wote? Environmental sickness makes a lot of sense to me.
 

Siwezi nikakana dhamiri yako ya dhati ya kutaka kunisaidia juu ya hili gumu kwangu, inajionesha dhahiri kwa kila mmoja anaepitia uzi huu.

Ninakuelewa ndugu, pia ninazingatia yale yote unayonishauri na kunielekeza haina shida nitakuPM hitimisho punde!
 

Kwanza kabla hujaanza tiba yeyote iwe kwa professa Maji Marefu, Aga Khan, au kwa Maombezi.. Tafakari; Jiamini na Ujue wewe ni mzima na hauna ugonjwa wowote!!!

Ugonjwa umeutengeneza mwenyewe kwa kuogopa maisha... Unafikiri nani atakupa furaha kama hujaitengeneza mwenyewe? Kila aina ya maisha hapa duniani yanawezekana kama wewe utaamua...

Angalia alichofanya mwenzako katika kutafuta furaha..Crocs Are a Man's Best Friend | National Geographic Channel

[video]http://channel.nationalgeographic.com/channel/videos/crocs-are-a-mans-best-friend/[/video]
 
vile ndugu yangu nakupa pole sana na usiwaamini waganga wa kienyeji sana huwa wanapotosha sana
 
Huyu kijana kweli anaumwa! Na kibaya zaidi it is mainly psychological na inamsababishia kutafuta solution anayoitaka yeye! Yani tayari ameshajiwekea njia anayofikiri ni sahihi ya kutatua tatizo lake japokua haijamletea mafanikio hadi leo!
Sad, sababu anaonekana ni smart.
sokwe, you are a kind human being. Keep it up man.
 

Duh, kweli hapo umesema kweli manake unatuchanganya, mie masikini, natoa 1M,niko tayari kufa kuliko kuendelea na mateso,niombeeni watu wa Mungu, waganga wa kienyeji au wachawi nisaidieni, wapi na wapi ama kweli umesema kweli unasahau sahau.
 
I'm about to give up, he's not willing to listen, Kama ulivyosema amejichagulia njia anayoiamini ni ngumu kumsaidia.
 
vile ndugu yangu nakupa pole sana na usiwaamini waganga wa kienyeji sana huwa wanapotosha sana[/QUOTE

Nimechukua na hili kwa uzito unaostahili ndugu.

Nakushukuru sana.
 
kaka kwa sasa hatuna uwezo wa kufanya hivyo lakini nashukuru kwa kupata mwangaza kwamba ni ugonjwa na unatibika.home huwa hatumuelewi kwa hivyo ameachwa tu afanye atakalo na amekosa aman na amekuwa adui wa kila mtu maana anajihisi hakubaliki.
 

Vyema kwa vyema ndugu kwa kuweza kung'amua kwamba ugonjwa ninao pia na mimi ninakiri ugonjwa ninao kwa muda mrefu na bila kumungunya maneno wala kupepesa macho natamka tu kwamba wameniwahi wakanipiga msumari mzito waswahili hakuna lepe la shaka juu ya hili, na nisingependa nieleweke kama mtu ambae ninapitia kwenye psychological problems or traumatic experiences kama core ya tatizo langu hapana!! Isipokuwa yamekuja baada ya kutingwa na hili gumu naweza senses vitu kama stress, intrapersonal conflict, pyschological exhausted n.k Na pia sio kwamba nataka kugeneralise na kurukia hitimisho kwamba nimerogwa bila data za kutosha juu ya hili hapana!! Ninaweza kusenses tu mwenyewe mwilini jinsi vitu hivi stranger and mystical vinavyozunguka kutoka sehemu moja hadi nyingine na kuacha maumivu makali na pia kuna vitu vya kibinadamu kama affection na watu hakuna kabisaaa.

Isitoshe magonjwa ya hospitali mengi yakiingia mwilini mwangu huwa naweza kuhisi zile dalili na utofauti wake katika mwili na haraka hutofautisha maradhi haya mawili na bila kuchelewa huwa naenda hospitali kwa ajili ya diagnosis.

Mbali na hayo sokwe amekuwa msaada na muongozo mzuri kwa kuleta na kustress mawazo chanya kwangu.siwezi kukana mchango wake makini na murua.

Your appreciated ndugu sokwe!

Kila la kheri wandugu!
 
I'm about to give up, he's not willing to listen, Kama ulivyosema amejichagulia njia anayoiamini ni ngumu kumsaidia.

Don't give up bro, you are such a tremendeous catalyst on this tragedy!
 
Kwa miaka 19 umeshindwa kupata jibu la matatizo yako lakini bado una amini kwamba umerogwa! Japokuwa umeshazunguka kwa sangoma bila mafanikio nakupa Miezi 3 toka sasa ya kutafuta Tiba unayofokiri itakuondolea hayo maradhi, ukishindwa nitafute nitakusaidia, ila urudi hapa nakutoa ushuhuda wako, nafikiria kufungua Uzi mwingine kulizungumzia hili tatizo, kwa mtu yoyote Kama unaona ume develop tabia za ajabu ambazo hata wewe mwenyewe unashindwa kuzielezea na kuona Kama hukubaliki kwenye jamii, unafanya maamuzi mabovu iwe kwenye familia, kazini au kwenye biashara, una mtoto anasoma lakini academic performance yake ipo poor hata kuandika ni tabu, nakuhakikishia ni wakati muafaka wa kuchukulia mold mycotoxins very serious, utakuta mtoto mtukutu kupindukia zinaweza kuwa dalili za mold,Kama huyu bwana mnavyomuona alivyo na conflict kwenye kichwa chake.
 
Aache Ushirikina gani Mgonjwa huyo amesha rogwa na majirani zake anachotaka kutibiwa huyo sio mzima kabisa muone hata anachokiandika hakileweki kabisa.

Kaka umewahi, na mimi nilitaka niseme hivyo hivyo!
 
Ndugu yangu folk nakuomba japo ufwate ushauri wa sokwe . Ni wa vipimo tuu then utajua nini kinakusibu. Hata kama utaendelea na ushauri mwingine uliopata kutoka kwa JF members lakini usiache ushauri wa vipimo kutoka kwa sokwe. Nakutakia kila la kheri, ufanikiwe.
 
Last edited by a moderator:
Wasomee zaburi ya 35
kwisha habari yao
 

Dah yasababishwa na nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…