Kama ni ushirikina wengine tulio mbali ngoja tujaribu kukusanya nguvu na kukuombea, kutumia uchawi kufix uchawi inaweza kua temporary maana wanazidiana nguvu akija mkali zaidi atakudaka tena, ila Mungu akitibu bhaaaas, mwingine hapenyi pale ndio namba moja.. Ngoja tukuombee huku ndugu, kua na imani...May God protect you in Jesus Name! Amen
Kwa miaka 19 umeshindwa kupata jibu la matatizo yako lakini bado una amini kwamba umerogwa! Japokuwa umeshazunguka kwa sangoma bila mafanikio nakupa Miezi 3 toka sasa ya kutafuta Tiba unayofokiri itakuondolea hayo maradhi, ukishindwa nitafute nitakusaidia, ila urudi hapa nakutoa ushuhuda wako, nafikiria kufungua Uzi mwingine kulizungumzia hili tatizo, kwa mtu yoyote Kama unaona ume develop tabia za ajabu ambazo hata wewe mwenyewe unashindwa kuzielezea na kuona Kama hukubaliki kwenye jamii, unafanya maamuzi mabovu iwe kwenye familia, kazini au kwenye biashara, una mtoto anasoma lakini academic performance yake ipo poor hata kuandika ni tabu, nakuhakikishia ni wakati muafaka wa kuchukulia mold mycotoxins very serious, utakuta mtoto mtukutu kupindukia zinaweza kuwa dalili za mold,Kama huyu bwana mnavyomuona alivyo na conflict kwenye kichwa chake.
Nataka nikununulie probiotic supplement zitakusaidia kupata choo! Utatumia? Mwili wako una accumulate sumu nyingi kwa kushindwa kupata choo inachangia kuwa na fog thinking, confuse, lack of energy, unahitaji kuwa na frequent bowel movement na upate multi vitamin, nijibu utatumia? Ili nisipoteze pesa zangu.
I smell rat in this thread
kuna kamcheso kachafu hapa
guys be careful
Ni familia ya kimaskini ila watoto ..........
NITOE AWARDS ya tshs milioni moja
I smell rat in this thread
kuna kamcheso kachafu hapa
guys be careful
fafanua mkuu.....ni beware of nini???
...... 416
Mdogo wangu mungu akubariki sana! Wala hujarogwa Kama unavyofikiria wewe unasumbuliwa na sick house syndrome! You're allergic to mold, ni tatizo Hilo Hilo lilinifanya Mimi kuwa mgonjwa kwa miaka 2 nikakata tamaa ya maisha aliyenifungulia njia alikuwa mmarekani mwanajeshi mgeni ambaye alikuwa amehamishiwa kikazi hapa Japan aliniomba nimsaidie kumtembeza hapa Tokyo japokuwa Hali yangu haikuwa nzuri kiafya nilikubali bahati mbaya ktk kumtembeza niliishiwa nguvu na kuanguka! Alinisaidia kwenda hospital lakini nilishakwenda hospital zote kubwa hapa Japan na hakuna walichokiona, huyu kijana mdogo wa kizungu aliponiambia inawezekana unasumbuliwa na mold! Sikuwahi kusikia habari za mold ila nilivyokuja fanya research nikakuta Nina dalili nyingi sana, bahati mbaya madaktari wanaotibu Hilo tatizo sio wengi ila linatibika nilikwenda kutibiwa marekani Washington na nimepona kabisaaaa! Nitakupa dalili chache za mold unaweza ukawa nazo zote a upungufu au zaidi, headache, insomnia, anxiety, depressed, fatigue, night sweating, low sexual drive, low cortisol, anemia. Low white blood cell, irregular heart beat, confusion, poor concentration, blurred vision, lack of energy, bad dreams,poor digestion, cold hands and feet, feeling thirsty all the time, burning sensation, ears ringing e.t.c. Nina uhakika ndio tatizo lako, mold ni aina ya fungus ambao wana produce secondary metabolic inaitwa mycotoxins, kadili inavyozidi kukaa kwenye mazingira ya mazalio yake ndivyo inavyozidi kukufanya mgonjwa Kama una uwezo wa kwenda kutibiwa marekani nitakupatia namba ya simu na jina la huyo daktari, ila kwa sasa jambo la kwanza kufanya ni kuhama hapo unapoishi.
Yoote hayo ni frustrations tu. Huna gonjwa lolote ila UKIRO yaani ukimwi wa kiroho tu. Hata andika yako yaonesha umekata taamaa.
Tiba, ni kumpa nafasi aliyekuumba akushughulikie mwenyewe. Ati utatoa milioni. Kama umeona hiyo ndiyo gharama basi waujua ugonjwa.
Acha ujinga, nenda waone wataalam wa roho sio mwili. Hao hawapo Muhumbili wala Kwamsisi. Wapo kwenye kanisa la kiroho. Hawapo kwa mchungaji bali kwa mtumishi wa kweli wa Mungu.
Angalia huyu punguani mwingine hata sijui katokea wapi? Una kichaa au mwehu? Piga simu yangu ya mkononi tuzungumze sasa hivi! U fa.g.g.ot +818044441220 pengine hata vocha ya dola 5 huna!