imekua kawaida kwa wana siasa wa afrika kuto kubali kushindwa pale inapotokea kura hazijatosha kuwafanya wao kuwa viongozi, na bila huruma wamekuwa wakitumia fursa ya ujinga ulio kithiri miongoni mwetu raia kutuchochea kufanya vurugu ambazo zimekua zikisababisha maafa na hasara kubwa kwa raia chonde chonda wakenya amani kwanza.