Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Eneo lolote la kazi hasa uwapo na mamlaka ogopa sana kumtenda isivyo aliye chini yako kwa sababu kisasi hakitatoka kwake bali walipa kisasi ni wale waliowezeshwa kuwa hapo na uliye mtenda.
Kosa hilo alipata kulifanya mfu mmoja na majibu yake ni bayana ndiyo yaliyo sababisha yaliyomo.
Hivi, unamfukuzaje kwa fedheha bosi aliyenisaidia niwe hapa jikoni kwako nikikupikia na nikuache salama?!