Atakayeniambia kirefu Cha BOMA Nampa zawadi ya vocha

Atakayeniambia kirefu Cha BOMA Nampa zawadi ya vocha

A boma is a livestock enclosure, community enclosure, stockade, corral, small fort or a district government office and community used in many parts of the African Great Lakes region, as well as Central and Southern Africa. It is particularly associated with community decision making.
 
Wengine watasema "British Overseas Management Administration", wengine "British Overseas Military Administration" wengine "British Officers Mess Area". Lakini hizo zote ni 'myths' za uongo juu ya neno boma.

Ni neno ambalo lipo kwenye lugha ya Kiswahili hata kabla ya waingereza kuja nchini. 'Hao tour guides watawapotosha'. Wikipedia wameeleza vizuri sana kuhusu boma, nakushauri upitie hapo upate maarifa zaidi.

Shukrani.
 
Back
Top Bottom