Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
ila hilo la mzinga ni shida Juzi natokea Kibaha kulekea Dsm kufika Kiluvia nikaona kuna watu stand nikasema ngoja nichukue abiria wakupiga stori kwenye foleni, nikauliza kuna anaeyeenda Dar, akatokea binti mmoja mzuri kiasi, akapanda tena sit ya mbele nikasema afadhali hapa nitapata story, kweli mtoto story kibao safari ikaenda vizuri tu, nikampa bussines card yangu akanibeep mabo yakaendelea kufika ubungo nikamwabia mimi naelekea maeneo ya mwenge vipi unashuka wapi, kasema twende tu utaniacha mlimani city, kufika mlimani city akaniambia niachie basi elfu kumi ya soda, nikashangaa mimi nilifikiri ananipa nauli ili nimwambie keep chenchi, kumbe napigwa mzinga mapema, nikampotezea na elfu tano sasa imkuwa shida msg kibao tuonanae or mama anaumwa nimemwabia ampleke hospitali anasema hana hela nikamwabia kwani huna ndugu akasema nao hawana hela sasa nimemwabia aende ustawi wa jamii watamsadia matusi niliyetumia Mungu anajua, yaani wa wadada wa mjini ni tabu tuJiandae kupigwa mzinga
Yes or No
Hahaa....Mkuu msamehe bure, hizi ni nyakati ngumu sana kwao kuliko kipindi chochote kileila hilo la mzinga ni shida Juzi natokea Kibaha kulekea Dsm kufika Kiluvia nikaona kuna watu stand nikasema ngoja nichukue abiria wakupiga stori kwenye foleni, nikauliza kuna anaeyeenda Dar, akatokea binti mmoja mzuri kiasi, akapanda tena sit ya mbele nikasema afadhali hapa nitapata story, kweli mtoto story kibao safari ikaenda vizuri tu, nikampa bussines card yangu akanibeep mabo yakaendelea kufika ubungo nikamwabia mimi naelekea maeneo ya mwenge vipi unashuka wapi, kasema twende tu utaniacha mlimani city, kufika mlimani city akaniambia niachie basi elfu kumi ya soda, nikashangaa mimi nilifikiri ananipa nauli ili nimwambie keep chenchi, kumbe napigwa mzinga mapema, nikampotezea na elfu tano sasa imkuwa shida msg kibao tuonanae or mama anaumwa nimemwabia ampleke hospitali anasema hana hela nikamwabia kwani huna ndugu akasema nao hawana hela sasa nimemwabia aende ustawi wa jamii watamsadia matusi niliyetumia Mungu anajua, yaani wa wadada wa mjini ni tabu tu