Umekuja na mkwara utafikiri ni mada inayoumiza kichwa....eti Great Thinkers tu ndio wachangie :lol: :lol:
Mukubwa ! Mkuu wa kitengo cha "kuwa-bandua lebo" pole na kazi na lebo za chuma pia wabandua ? (naruhusiwa kuchakuchua mi kwa nafasi yangu kama thread creater na Kongosho kwa nafasi yake ya ukuu wa kitengo cha lebo )
Atakuwa mke wa jamaa aliyeoa kwa mara ya pili na kutokana na taarifa zilizokuja mwanzo kuwa mume wa kwanza ameRIP ni haki ya huyo mke kuwa na mme mpya!
1: No one to blaim if is true story, ila ikiwa umetunga sichangii
2: Nowadays no one atakaa mateka without serikali
kujua, just to remind you, kuwashika mateka is a biggest pride kwa wanajeshi wa serikali husika, so huwatangaza, publicly kwa serikali pinzani, na watademand a lot, why? simple, bcoz they will get most infos of war tacs ya mpinzani wako.
Utaratibu wa kumchukua mwanangu ni muhimu kuliko vyote! (in case kama ningekuwa mwanaume)
wanawake waliowengi wanawaza kama wewe..huyo mmeo anakazi.
Kimsingi kama ni mimi nitaoa mwanamke mwingine kwa sababu kitendo cha mke wangu kuolewa ndani ya miezi 12 tu tangu 'nife' kinanipa ujumbe kwamba ckuwa na umuhimu sana kwake.
kisheria,................ ndoa mpya ya mkeo inakuwa nul and void ............. na unenforceable ......................toka siku ilipothibitika kuwa u-hai................ hii ni kwa sababu kufungwa kwa ndoa hiyo kulitokana na taarifa zilizoaminika kuwa sahihi wakati ule na zilizothibitika baadaye kuwa si sahihi wala za kweli................. kwa maneno mengine, sheria itaichukulia ndoa ile kuwa ilikuwa voidable tangu kufungwa kwake na kuendelea kwake kutategemea action ya upande wako na/au upande wa mkeo............... yaani kama yoyote kati yako na mkeo hatakuwa radhi kuishi na mwenzie tena .................. basi talaka itatolewa................... na ndiyo itakayofungua milango ya mkeo kuolewa/kuoa tena.................... kama wote mtakuwa radhi kuishi pamoja tena, .........................hakutakuwa na haja ya talaka na mnaweza kushikana mikono na kuondoka kuelekea nyumbani kwenu siku hiyohiyo wakati taratibu nyingine za kisheria zinzohusu nyaraka nyingine za awali zilizokwishakutolewa kwa shauri lenu, zikiendelea.........................
hivyo ndoa hiyo itatenguliwa kama shauri litafika mahakamani............. na baadaye kutatolewa fursa ya kuivunja rasmi kisheria ikiwa hamtaki kuendelea nayo...................... na hapo ndipo mkeo anaweza kufunga ndoa halali kisheria................ zingatia hapo kuwa "ndoa halali na si ndoa nyingine' manake ila ya kwanza haikuwa "ndoa" kisheria....................
kuhusu watoto.................... nadjhani hilo halina hilo halina utata..................., otherwise uwe kilaza wa kutupwa!!.............