Kimsingi na Kisheria kifo chako kilichotangazwa ni Batili, na waliotoa taarifa hizi wanastahili kuhukumiwa coz hawakutoaa taarifa sahihi (Mind you sheria haina oooh mie sikujua) it depends hiyo ndoa ni ya Dini gani, kwa ki kristo, mwana ndoa hutenganishwa na KIFO TU ambacho kimsingi hakijakukuta so Ki Kikristo Techinicaly huyo ni Mke wako ki halali, yatakayofuata ni Mashauri ya Kibinadamu tu, ila kisheria ya Kidini ya Kikristo, huyo ni Mkeo na ndoa ya pili si halali.
Kwa Kiislam, sina uhakika kama wanaruhusu Mwanamke kuolewa na Mume zaid ya Mmoja at the same time, if this is true then technically hata huku Pia Ni Mkeo tu.....
Mwisho kabisa, Hii ni very simple na wala haukupaswa kuanza na Mkwara