Atakupa nini huyo??

Atakupa nini huyo??

SnowBall

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
3,052
Reaction score
2,842
Mara nyingi utasikia Mzazi anamkaripia binti yake anayehisiwa kuwa ana boyfriend kwa kauli kama..'ATAKUPA NINI HUYO'??..
Hivi kauli kama hizi haziwezi kuwa ndio kichocheo cha hawa mabinti hata wanapokuwa na maisha yao baadaye kuwa na mentality ya kuwa 'falling in love with somebody' lazima kuwe na Material things in turn??..
 
Back
Top Bottom