Atakuwa ananipenda au ananitamani tu?

Atakuwa ananipenda au ananitamani tu?

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2019
Posts
491
Reaction score
1,010
Kuishi kwingi unapitia mengi bandugu... Nime experience aina ya mahusiano ambayo sijawahi ona.

Mwaka 2015 nilikutana na mdada mmoja nikiwa likizo fupi home. Hatukutongozana wala kuwa pamoja kivile but ilitokea siku moja niko tiz akataka nayeye ashiriki nikamkaribisha baada ya hapo nikajilia mara moja tukapotezana nikarudi Job .

2017 nikaenda harusin home nikamkuta tukasalimiana nikachukua namba nikamwita sehem akaja nikala akasepa , nilivyokaribia kurud kwangu nikamwita akaleta nikala. ( ikumbukwe baada ya kulana hakuna anaemtafta mwingine ko me nikibanwa ndo natafta namba yake nayeye akibanwa ananicheck )

Baada ya hapo 2019 tukakutana tena Mwanza ye akiwa a anafanya kazi redio moja hapo Mwanza. Baada yakukutana tukaendelea na mchezo wetu kama kawaida ( tukikutana hakuna love story wala NAKUPENDA NAKUPENDA ni moto tu).

Sasa juzi nimetoka likizo mkoani kwetu nilivyomkuta2 nikaanza kutafta namba yake kwenye simu zangu zote but sikupata nikamfata nikamuomba but hajaniuliza wala kushangaa kwann sina namba yake na hata yeye hakuwa na namba yangu. So kama kawaida nikaomba , this time akagoma kwamba amechumbiwa nikatest tena akagoma kuwa ni mke wa mtu mtarajiwa. Siku moja asubuhi sana (12 kasoro) nikamtext akajibu nikamwita akanambia nitume usafiri nikatuma tex kweli akaja akaliwa.

Sasa kinachonichanganya mpaka naandika uzi huu ni aina ya mahusiano haya. Kiukweli hajawahi kuniomba pesa , kunidharau wala kutaka chochote toka kwangu japo simpendi na sijui kuhusu yeye (km ananpenda) kila mmoja anamkumbuka mwenzake akimuona, na ninamtafta napokuwa na hisia2. Je yeye ananipenda au malaya?
 
Sasa humpendi si umuache mke mtarajiwa wa mwenzako. Unasubiri mchumba ake ashtukie ishu ampige chini na wewe umpige chini ndo mapepo yako ya uzinzi yafurahi mkuu.
 
Anakukula kimasihara bila wewe kujua au nasema uongo ndugu zanguuuuu
 
Endeleeni na hako ka mchezo hadi mtakapopata akili.
 
Sasa humpendi si umuache mke mtarajiwa wa mwenzako. Unasubiri mchumba ake ashtukie ishu ampige chini na wewe umpige chini ndo mapepo yako ya uzinzi yafurahi mkuu.
Nimuache? Hatujawahi kuwa wapenzi cheef. Inatokea tu nikirud mkoan nikimuona ndo namwita nakula tumaishia hapo
 
Kuishi kwingi unapitia mengi bandugu... Nime experience aina ya mahusiano ambayo sijawahi ona.

Mwaka 2015 nilikutana na mdada mmoja nikiwa likizo fupi home. Hatukutongozana wala kuwa pamoja kivile but ilitokea siku moja niko tiz akataka nayeye ashiriki nikamkaribisha baada ya hapo nikajilia mara moja tukapotezana nikarudi Job .

2017 nikaenda harusin home nikamkuta tukasalimiana nikachukua namba nikamwita sehem akaja nikala akasepa , nilivyokaribia kurud kwangu nikamwita akaleta nikala. ( ikumbukwe baada ya kulana hakuna anaemtafta mwingine ko me nikibanwa ndo natafta namba yake nayeye akibanwa ananicheck )

Baada ya hapo 2019 tukakutana tena Mwanza ye akiwa a anafanya kazi redio moja hapo Mwanza. Baada yakukutana tukaendelea na mchezo wetu kama kawaida ( tukikutana hakuna love story wala NAKUPENDA NAKUPENDA ni moto tu).

Sasa juzi nimetoka likizo mkoani kwetu nilivyomkuta2 nikaanza kutafta namba yake kwenye simu zangu zote but sikupata nikamfata nikamuomba but hajaniuliza wala kushangaa kwann sina namba yake na hata yeye hakuwa na namba yangu. So kama kawaida nikaomba , this time akagoma kwamba amechumbiwa nikatest tena akagoma kuwa ni mke wa mtu mtarajiwa. Siku moja asubuhi sana (12 kasoro) nikamtext akajibu nikamwita akanambia nitume usafiri nikatuma tex kweli akaja akaliwa.

Sasa kinachonichanganya mpaka naandika uzi huu ni aina ya mahusiano haya. Kiukweli hajawahi kuniomba pesa , kunidharau wala kutaka chochote toka kwangu japo simpendi na sijui kuhusu yeye (km ananpenda) kila mmoja anamkumbuka mwenzake akimuona, na ninamtafta napokuwa na hisia2. Je yeye ananipenda au malaya?
Huyo anaitwa "fuckbuddy".

Huyo unaweza kudumu naye zaidi ya miaka 10 kwa sababu hamuinani sana.

Ila jihadhari sana na maambukizi kwa sababu hamkutani sana.
 
Umeenda vizuri ila umezingua kumuita malaya. Binafsi huwa namheshim manzi wa ivyo anaenipa mbususu bila longo longo wala lawama.

Nyote mna tabia moja na mmekutana sasa pipa na mfuniko, hata kumuandikia uzi humu pacha wako umezingua huyo ni wewe na yeye ni wewe.
 
Back
Top Bottom