Atamjuaje baba wa Mtoto????



This is excellent piece of advise, very objective!! Thank you very much!
 

napita tu jamani sis under 18
 
Sasa kama alipanga kuzaa na jamaa yake mpya angetumiaje kondom? na pia, huyo kinganganizi naye anataka mtoto, alikua dada yuko kwenye denger days, hivyo na yeye alingangania yango na yango! Ndio kinachompa dada huzuni!

Rose hii ndio inanifanya niseme haya yote kweli ???
 
nyie madada wa jf mnasema hamtaki nyumba ndogo,
sasa huyu mwenzenu mnamkubali je, kwenda kulala na mibaba miwili
kwa siku huku akijua jamaa ana mke,
haya iwe kalala na mumeo ungemshauri nini.

tambua pia ata yeye mwenyewe katambua ilo ni kosa.
anajuta.
apend alichokifanya

na kwasababu AMEJUTIA KOSA LAKE BASI HAINA HAJA YA KUDEAL NA HISTORIA...CHA MSINGI MSHAURINI WAT NEXT.WAT 2DO FROM THAT...kuendelea kumshutumu sio poa...kaleta post ashauriwe sio kukandwa.kushutumiwa.

ameomba ushauri afanyaje JUU YYA MAFYONGO ALIYOFANYA...mtoto akinyea kiganja unakata?
nyie amjawai kukosea?


kila mtu anakosa..usipime uzito wwa kosa cz kosa ni kosa....so mshaurini tu jaman ..msimchambe nyinyi viumbe wa maulana...
 
Jamani dada zetu kwa nini msiwe wawazi? Kwanza hujatuambia huyo dada ana umri gani yawezekana tukalaumu tu kumbe maamuzi hayo yamefanyika kuendana na umri wa mhusika.
 
Aendelee na mpango wake tu, aseme tu mtoto ni wa huyo mchumba mpya alie single.

Kama ana nguvu aje afanye DNA ila kama anataka kupiga kimya auchune tu aseme ni mtoto wa huyo single ili ndoto zake zitimie na aishi kwa amani japo anaweza kuwa na kitu moyoni kila siku, kwanza si alifanya na huyo kaka siku ya 10 na hata hiyo ya 13 jamaa single ndio alianza sio, akomae tu.

Asipanic wala nini, kwani nyumba ngapi baba halisi wa watoto ni siri ya mama? Itakuwa yeye ambaye jamaa alipiga mechi kabisa
 

Mapenzi ya halaiki yatatumaliza jamani. Huyo dada atavuna alichopanda kwa kupenda kushikiwa akili. Akapime akili kwanza.
 
Siku nyingine huwa unatoa point wewe!! Huwa unaniboa pale tu unapowalamba miguu mafisadi na kukumbatia magamba. By the way habari za Mwanza? nilijaribu kukuangalia pale PPF - Gold crest hotel sikukuona au ndiyo ulitoroka nilivyokuambia nitakutafuta?
Tatizo sisi watanzania tumezoea kulalamika sana! Kwani hao mafisadi walifikaje huko walipofika? Walitumia akili na opportuinities zilizokuwepo.
Pale niliondoka mapema, kesho yake nilikuwa na Safari. Sikusubiri hata cheti changu. Vp, walitoa cetificates? Au tutazichukulia huku dar?
 
Zinaa ni Uchafu, na uyo Dada yako ni Mchafu zaidi yaani inaonekana akiona kichaka tu lazima yambane. Hivi kwanini asiandae mazingira ya ndoa kabla ya kuhalalisha zinaa. Asubiri Vipimo vya DNA.
 
HII!!NI HALIII YA HATARII...huyo mdadaa kanisikitisha,yanii kulalaa na midume miwiliii kwa siku mojaaa,huyo dada anampenda mme wa mtu,sithani hata mwanaume akiwaa kinganganizii vipi huwezi kumnyimaa unyumbaa.that is big mistake in u life...ilaa mimbaa haiwezi kudungwaa mara mbiliii,itakuwaa ni yamwanamme wa kwanza alie lalaa nae huyo mme wa mtu amewekaa nguvu tu.chamuhimu subiri mtoto azaliwee?utajuaa ni damu ya naniii
 
siku 1 unalala na watu 2!!! hii takwimu inatia kichefuchefu!!hata bongo muvi haiko ivyo!!
 
tatizo ni kutatua tatizo na si kutengeneza tatizo

huyu mdada hana msimamo hata chembe kama yeye aliamua kuachana na jamaa kwa nini asimwambie na akasimamia maamuzi ??? inavyoonyesha yungali anampenda jamaa na kuna kitu ambacho kinamfanya ampende au auendelee kuwa naye , ,, sasa hapo kachanganya mambo hiyo mimba atampa nani hata kama utamwambia ni huyo jamaa mpya na jamaa wa zamani akidai chake kwa mdada ni picha gani kwa jamaa mpya??
 
Na huyo mtoto atakayezaliwa akikuwa akifanya hayo maroroso kama ya mamaye cjui wa kulaumiwa ni nani matatizo mengi huwa yanaanzishwa na chimbuko la vizazi vyetu
 
we Rose we na hilo jicho lako long time nshakwambia ntakuchapa.
Haya nambie hivi ingekuwa dume ka Bishanga kaharibu na anakuja omba msaada wanawake wa mmu si mngeniparura,na sisi muwe mnatuonea huruma basi.
 
kaaaaaaazi kweli kweli!!!!!
 
siku 1 unalala na watu 2!!! hii takwimu inatia kichefuchefu!!hata bongo muvi haiko ivyo!!
na wote pekupeku utadhani hawajui duka la condom liko wapi,mtatuua nyie wanawake,sisi tunajihemu tunakuwa na mpenzi mmoja kumbe nyie mnaliwa dabo dabo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…