Atamjuaje baba wa Mtoto????

Ili kufanyike vipimo vya DNA ni lazima pite mahakamani; hapa labda kati ya hao wanaume wa2 mmoja aende kudai mahakamani; yeye kama nataka kuthibitisha basi asubiri mimba itungwe(sijui imeshatunga?) na azae basi............awe wa mme wa mtu ama wa mchumba bado atakuwa ni mwanae na hicho ndio cha msingi; baba anaweza kuniappoint hata mimi ikiwa hao wawili watamzingua!
 
mbombojilipo ! Na wewe masikin-j unataka kujiongeza kwenye list ,kisa na mkasa badugu
 
we Rose we na hilo jicho lako long time nshakwambia ntakuchapa.
Haya nambie hivi ingekuwa dume ka Bishanga kaharibu na anakuja omba msaada wanawake wa mmu si mngeniparura,na sisi muwe mnatuonea huruma basi.


AHH KWAVILE NI NYINYI MNGECHAMBWA TU...cz daily mwakosea afu mshararisha et ni UTAMADUNI WA WANAUME RIJALI...

uyu kakosa kweli lakin kakiri,na kaomba itifaki so mumsaidie tu msizi kumdidimiza
 
Sasa kama alipanga kuzaa na jamaa yake mpya angetumiaje kondom? na pia, huyo kinganganizi naye anataka mtoto, alikua dada yuko kwenye denger days, hivyo na yeye alingangania yango na yango! Ndio kinachompa dada huzuni!

yango na yango umenikumbusha mbaliiii,mdada afanye maamuz magumu ampige chini mume wa mtu abaki na mpenz wake mpya,suala la mtoto sio ishu kitanda hakizai haramu bhana
 
Jamani dada zetu kwa nini msiwe wawazi? Kwanza hujatuambia huyo dada ana umri gani yawezekana tukalaumu tu kumbe maamuzi hayo yamefanyika kuendana na umri wa mhusika.

Dada miaka 33
Mume wa mtu miaka 52
Mchumba mpya miaka 37
 
na wote pekupeku utadhani hawajui duka la condom liko wapi,mtatuua nyie wanawake,sisi tunajihemu tunakuwa na mpenzi mmoja kumbe nyie mnaliwa dabo dabo.


Mmh hakuna deal hapa, ni CCM na CHADEMA
 
Huyo dada na uzinzi wake hafai kwani ni tapeli wa mapenzi.
 
nyie madada wa jf mnasema hamtaki nyumba ndogo,
sasa huyu mwenzenu mnamkubali je, kwenda kulala na mibaba miwili
kwa siku huku akijua jamaa ana mke,
haya iwe kalala na mumeo ungemshauri nini.

Wanaume tujifunze kukaa kimya sometimes...unaweza ukachanganyiwa watoto hata kama ni mjanja kama samaki.Anayejua huyu mtoto ni wa nani ni mama maana ndiye anayeujua vema mwili wake.
 
Kwani keshanasa! Kama ndio akashushe kisha awe na msimamo na yeye,mie mtu hawezi ningangania hivyo kama simpendi namtema
 
Si lazima iwe ya mwanamume wa kwanza inategemea strongnesss ya mbegu na many other factors na anaweza asiwe na miba pia ,akapime kwanza

 
Naye huyo dada anamtaka jamaa. Kwa mtu ambaye humtaki mbona kumtema kitu ndogo sana within seconds tu hakutafuti tena.
 
Dada miaka 33
Mume wa mtu miaka 52
Mchumba mpya miaka 37

Wooote hawana akili na wote ni warafi na vipofu wa mapenzi sitegemei kabisa wewe dada mwenye umri wa miaka 33 unafanya maamuzi ya aina hii nilitumai maamuzi haya yamefanywa na binti aliyehitimu darasa la saba au kidato cha nne na suala kama hili linapomfika mwanaume mwenye maamuzi fyatu ndo huwa unasikia fulaani kamuua mwenzi wake sababu ya mapenzi.Kama we dada si malaya mkubwa ni nini ufanye mapenzi mchana na mchumbaako usiku ufanye na hawala iko wapi heshima ya mchumbaako,inaonyesha waazi kuwa hata ikitokea huyo mchumbaako akakuoa akienda kazini utakuwa unampanulia huyo mzee wako wa miaka 52.uko wapi uthamani wa mwili wako? Dada zetu kuweni na heshima ktk miili yenu ioneeni huruma!!!!!!!.
 
na wote pekupeku utadhani hawajui duka la condom liko wapi,mtatuua nyie wanawake,sisi tunajihemu tunakuwa na mpenzi mmoja kumbe nyie mnaliwa dabo dabo.

Bora angetumia peku peku kule kwenye mlango wa dharula
 
Nadhani baba wa mtoto ni ngono zembe mbili kwa siku moja. Akapime kwanza kabla ya kujua responsible ngono zembe.
 
Dada miaka 33
Mume wa mtu miaka 52
Mchumba mpya miaka 37

Huyu bila shaka amepagawishwa na tiGo kule nyumba kubwa anakosa ndo maana amemng'ang'ania dada wa watu.
 
mbona hasira baba kwan vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…