Atamjuaje baba wa Mtoto????

Hilo na mie pia lime ni put off. Huyo dada yako ni character na napata shaka kama ni kweli hakujua kuwa ana deal na married man.

Mmh..siku hiyo hiyo kalala na wanaume wawili bila kinga yoyote?? Kwa mtindo huu hatuponi kabisa!!
 

mpe pole lakini ushauri na maoni yangu ni haya
1. ni muhimu mtu kujitambua yeye na haki zake na anataka kupata nini ktk maisha yake
hapa ni kuwa dada baada ya kugundua bwana ni mume wa mtu , tena amemuua mkewe kwa uongo , alitakiwa atumie hiyo kama sababu ya kumwacha. hapa kama jamaa anavitisho basi dada aende kwenye sheria ili huyo baba apewe zuio la kuto sogelea huyu bibi
2. ndugu nao wanapaswa kuheshimu maamuzi ya vijana wao. hapa dada hamtaki mwanaume , lakini mwanaume akienda kwa ndugu wao wanamchekea chekea, hao ni tatizo na wanamaliza haki ya huyu dada kufurahia maisha yake
3. kwa sasa huyu dada lazima kwanza ajue anataka nini/ ni kujua baba wa mtoto au namna na ya kuachana na huyo baba. kama ni kujua baba wa mtoto, ushauri ni huu wa kufanya DNA test. tena hii hatua ya kufanya DNA ndio itatumika kumwacha huyu baba kama kweli anataka kumwacha. hapo ndipo ataandika kesi ya kuachana. ninamshauri huyu mama, hata kama mtoto ni wa huyo mume wa mtu, ni muhimu a andike hiyo kesi ya kuachana kwa kuzingatia mazingira ya mahusiano yao. akimwacha kisheria, baada ya muda atapata bwana ataolewa


mpe pole , mwambie JF tunampenda
 
hii kali...... ameshindwa kumkatalia wakati anajua tayari alikuwa amedo na mwingine kuachana na huyo mume itakuwa ngumu....kutokana na hilo aachane na huyo single couse inaonekana hana kipaumbele kwake
 
kila nikiunganisha maelezo naona mhusika ni Okada ..pole dada DNA itasaidia
 
Ushauri wangu aendelee tu kuwa kimada maana hafai kuitwa mke wa mtu; hamwache kijana wa watu atafute binti mwenye sifa za kuitwa mke.
 
Hata akifanya DNA; kwa maelezo yake huyo buzi ni king'ang'anizi kwa hiyo lazima mchumba ataja jua mchezo mchafu wa huyu dada kwani wanaume wababe lazima atalianzisha baada ya mtoto kuzaliwa; mwisho wa siku mchumba lazima amteme; Ndio maana nimeshauri a stick na mume wa mtu awe kimada for life.

kila nikiunganisha maelezo naona mhusika ni Okada ..pole dada DNA itasaidia
 
Rose!

God was very brave to create people like you! My friend, who is reading these messages, will be very happy for your support!

By any means, is that friend of yours, you and you alone? just curious
 
Dada miaka 33
Mume wa mtu miaka 52
Mchumba mpya miaka 37
mtoto akiwa na miaka 18 mme wa mtu anayetaka umzalie atakuwa na miaka 77 kwanza kwa hesabu za haraka huyo mme wa mtu mwakani anastaafu kwa sasa ana 59yrs ...aahaaaa hata km mke wake mgumba sijafanya bado biashara hiyo lol acha tamaa hapo bila shaka umemfwatia hela na shukuru ungekuwa unajua mamo kisawasawa ungekuta keshakifia huyo ..
 
Matatizo mengine ni ya kujitakia. Hivi kweli huyo dada kama angedhamiria toka moyoni kumuacha huyo mwanamume angeshindwa???? Sio kweli. Inaonekana bado alikuwa anampenda kwa sababu ya misaada anayopata. Na kwa nini aanzaishe mahusiano mapya wakati ameshindwa kumuacha wa zamani? Hizi tabia za sitaki nataka huponza wengi na kusababisha watu kuuana. Hana ujanja, atake asitake huyo mtoto itabidi awe wa mwanamume wa mwanzo.
 
Matatizo mengine ni ya kujitakia. Hivi kweli huyu dada angeamua toka moyoni mwake kumuacha huyo mwanamume angeshindwa???? Sio kweli. Inaonekana mdada hana msimamo na bado misaada anayoipata inamfanya ashindwe kuamua moja. hizi tabia za sitaki nataka ni mbaya sana, zinaweza kusababisha watu kuuana na kuumizana. Ilikuwaje akubali kuanzaisha mahusiano mapya na kuanza kuwachanganya hao wanaume kabla hajaachana na mwanamume kwa kwanza??? Kwa hali hii, hana ujanja, atake asitake mtoto atahesabika ni wa mwanamume wa mwanzo. Na hapo akusanye nguvu maana siri yake ya kufanywa na watu wawili itabumburuka.
 

Bora mwaya umeliona hilo ..kajisemea nyumba kubwa awe kimada for life haaa haaaa na ajiandae kuwa single parent maana akistaafu vipension vikiisha sidhani kama mapenzi yatakuwepo.Ajitahidi kuanza kusave for her kid lol
 
Pole yake bt hyo mimba itakuwa ya huyo mume wa m2, bt kwan iliingia? Anatakiwa kuwa na maamuz ya maisha yake c kuamuliwa, huyo kumganda n kumzibia rizki tu, amtel jamaa mpya kuna m2 anamsumbua thn wakutane dada achague huyo mpya, bt kama dada anakipato (kazi) bac amteme jamaa, labda km anamtegemea ndo mana inampa shda kumwacha.
 
Atoe mimba aanze upya. Utazaaje na jitu hulipendi na ling'ang'anizi????
 
Naye huyo dada anamtaka jamaa. Kwa mtu ambaye humtaki mbona kumtema kitu ndogo sana within seconds tu hakutafuti tena.

JohnSecond: naomba hizo tricks nikampe huyu dada ili aweze kuachana na jamaa!
 


Do! Kweli umetuburudisha! Our names indicate our personality! tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…