ATC Kwenda Dodoma

Hilo panga boy liliondoka zanzibar na baadaye kuelekea kilimanjaro. Limefika Dodoma saa 3 na dakika 55 sio kawaida.
 
Mungu ni mkubwa kutuonyesha uwezo wa ndege zilizonunuliwa kwa kodi zetu kwa maamuzi ya mtu mmoja kipindi hiki cha uchaguzi mkuu huu.
 
Nini cha ajabu hapo,au mgeni wa kupanda ndege?
 
Dsm to dodoma nauli shs ngap????
 
Nini cha ajabu hapo,au mgeni wa kupanda ndege?
Huoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo?
 
Huoni cha ajabu? Ndege ilikuwa iende Dodoma imezunguka kwenye anga ya Dar kwa muda wa saa 1 na kidogo ikarudi tena Dar? Huoni kuwa kulikuwa na tatizo?
Hakuna cha ajabu hapo mkuu..nazidi kusisitiza.
 
Panga Boi [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…