Inaruka ikiwa na chini ya abiria 100 (nadhani ina uwezo wa kuchukua abiria 150). Sijui bei yake ni bora kuliko ndege nyingine zinazoenda Afrika ya Kusini... halafu imepewa kikomo cha umbali wa kuruka angani kutokana ma masuala ya kiufundi....
Think naona sasa ndio wewe unanitisha.. hivyo Vyuo Vyetu vikuu havina kozi za Marketing? Au watu wanasoma ili wafaulu mitihani tu...?
Ukweli ni kuwa TZ tulisomesha watu kwenye vyuo vizuri tu ingawa UDSM ni pazuri pia. Kwa mfano Chenge ni mwanasheria alumni wa Havard, kuna zaidi ya hapo kweli? Tatizo huwa ni ukosefu wa uwajibikaji, maana kama aliyevurunda PPF leo yuko ATC, ana haja gani ya kufanya kazi kama ana uhakika wa kupata nyingine hata akivurunda?
..si kweli,
..kinachotufanya tuwe tegemezi si kufahamu hayo!,bali ni kutotaka kafanya kazi ya ziada,kuendekeza rushwa na kukubali kuongopewa na wazungu!
Natamani kujua ki-ufundi hii ina maana gani?
Ninavyofahamu mimi mahusiano ya Tanzania na nchi za Afrika Kusini (namaanisha SADC) ni makubwa... abiria bado ni wengi...
Wanaweza ku-run kwa hasara kwa muda lakini baadaye itakuwa na faida tu... ndege kubwa kama ile yaweza kuwa na faida kuruka kwenda SA... kuliko kwenda safari za ndani...
ATC kazeni buti... sio rahisi kwa sasa maana kampuni ilikuwa almost dead!!! what we need from you guys to kupunguza hasara kwa sasa sio kupata faida ... b'se it is simply know kilichokuwa kimebakia ni jina...
Haya mambo ya kina mwanakijiji yatakuwepo daima...
We know kuna wasomi wengi humo... wakiwemo wahandisi, marketiers... etc... chapeni kazi... biashara sio jambo rahisi...
Ama Kweli Dar si Lamu nimeamini!
Unapozungumzia "kuendekeza rushwa na kukubali kuongopewa na wazungu"
Kwenye proper business plan/ market Analysis hakuna kipengele cha rushwa (ama 10%) mradi unajiuza wenyewe na faida inaonekana hata kabla ya mradi kuanza! Ni nani leo hii atakuongopea kuwa 1 + 1 sio 2, mzungu? mhindi? mwarabu? Tumezidi sana kuogopa wazungu, hata pale tunapokuwa na jibu tunakwenda kuwauliza wao tena "hivi 1 + 1 ni 2"!! Unatarajia nini kama sio kuliwa kichwa.
I wish I could tell you.. but then.. nitakuwa nawafanyia kazi wengine.
Ninavyofahamu mimi mahusiano ya Tanzania na nchi za Afrika Kusini (namaanisha SADC) ni makubwa... abiria bado ni wengi...wa kwenda nchi hizo ni wengi sana... na wote... wanapitia Jo'burg.
Mwezi mmoja uliopita nilitoka SA... nilishangazwa na SA kubadili kutoka A340 kwenda A319... nikajua lazima kuna sherika linachukua abiria wake... nalo ni KQ... na ATC.
Wanaweza ku-run kwa hasara kwa muda lakini baadaye itakuwa na faida tu... ndege kubwa kama ile yaweza kuwa na faida kuruka kwenda SA... kuliko kwenda safari za ndani...
ATC kazeni buti... sio rahisi kwa sasa maana kampuni ilikuwa almost dead!!! what we need from you guys to kupunguza hasara kwa sasa sio kupata faida ... b'se it is simply know kilichokuwa kimebakia ni jina...
Haya mambo ya kina mwanakijiji yatakuwepo daima...
We know kuna wasomi wengi humo... wakiwemo wahandisi, marketiers... etc... chapeni kazi... biashara sio jambo rahisi...
Hivi serikali inatafuta nini kwenye hizi Airline Biz? wawaachie wengine wafanye kazi zao na watuondolee ukiritimba wa kipuuzi huu unaotia hasara walipa kodi na huduma mbovu....wajifunze TBL,na sio kama private companies hawataki kuweka pesa zao tatizo ni serikali hawataki kuachia haki ya routes(very complicated),upuuzi mtupu!
mzee kama ATC iendelee kufanya kazi kwa hasara wakiombea siku moja mambo yatatengemaa kuna haja gani ya kubinafsisha. Si tulishajaribu hilo kwa namna yake tukashindwa, kwanini ufikiri itakuwa tofauti tukifanya vile vile?
Airline industry inavyo operate na kupata profit is very complicated na inatawaliwa sana na mambo ya monopoly...ule haukuwa ubinafshaji just do ur homework utaelewa nini kilifanyika!
Airline industry inavyo operate na kupata profit is very complicated na inatawaliwa sana na mambo ya monopoly...ule haukuwa ubinafshaji just do ur homework utaelewa nini kilifanyika!
..utaalamu upo,tatizo ni waamuzi hawasikilizi vya kutosha ushauri wa wataalamu.
Kama ni very complicated; i hope it is even more and very complicated kutoa maoni wewe uliye nje ya ATCL na ambaye hata balance sheet yao hujaiona...
Mimi nashangaa how can somebodyaweze elezea performance ya kampuni bila hata kuona balance sheet, P/L account... report? kazi ipo kwenye taifa letu.
Kwa sababu wale mambumbu ndio wanajua ... na wale wanaojua ndio hawajui... kwa mfano mwanasiasa na wapiga makelele kwenye mitandao ndio wanajua... wahandisi na wahasibu wa ATC... wao ndio hawajui... haya...
Hilo la monopoly hukunielewa... lakini nadhani sina haja ya kusema mengi!!!