Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Sio punguzo, wanapanda bure kabisa. Hata leo wamepanda bure Mza-dar-znzPunguzo lipo kwa wana CCM
Punguzo lipo kwa wana CCM
FastJet ilikuwa ni low cost airline. Unajua maana ya low cost airline na lengo lake ni nini? Unajua ina operate namna gani? Wanachoweza kufanya ni kuanzisha kampuni tanzu ya low cost airline kwa lengo la watu wa kiwango cha chini.Ni kweli serikali inataka faida ili irudishe pesa iliyotumika kununulia ndege 8. Lakini bei ya ticket bado zipo juu sana.
Hivyo mjitahidi kufanya kama ilivyokuwa Fastjet ili kila Mtanzania afaidi.
Ni kweli serikali inataka faida ili irudishe pesa iliyotumika kununulia ndege 8. Lakini bei ya ticket bado zipo juu sana.
Hivyo mjitahidi kufanya kama ilivyokuwa Fastjet ili kila Mtanzania afaidi.
Linganisha kati ya atcl na precisionNi kweli serikali inataka faida ili irudishe pesa iliyotumika kununulia ndege 8. Lakini bei ya ticket bado zipo juu sana.
Hivyo mjitahidi kufanya kama ilivyokuwa Fastjet ili kila Mtanzania afaidi.
Punguzo lipo kwa wana CCM
kuna ukweli ndani yake. mitumba ya nje against nguo za viwanda vya ndani. Nawaza kwa sauti iwapo kama hati punguzo litatolewaWamekusikia, watalifanyia kazi shuri lako...undefinedHili lipo hata kwenye bidhaa za ndani, utakuta bidhaa za ndani bei kubwa, bidhaa za nje bei ndogo...undefinedundefinedundefinedCc: mahondaw
Nia kubwa ya serikali ni kutoa huduma kwa wananchi.habari za biashara za nini?FastJet ilikuwa ni low cost airline. Unajua maana ya low cost airline na lengo lake ni nini? Unajua ina operate namna gani? Wanachoweza kufanya ni kuanzisha kampuni tanzu ya low cost airline kwa lengo la watu wa kiwango cha chini.