N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Enzi za FASTJET ukikata tu tiketi unapata notifications kama zote na unakuwa na uhakika ulicholipia kimefika kweli...ila hawa ATCL ni jipu hawatoi notifications yaani wapo kizamanizamani sana. Nani mtu wenu wa IT desk nyie!!
Nawaza FASTJET iruhusiwe kurudi ilete ushindani hili shirika lichangamke.
Nawaza FASTJET iruhusiwe kurudi ilete ushindani hili shirika lichangamke.