Precision wako vizuri unapata notification kuanzia kwenye simu ila ATCL sijui Matindi na wenzie wanafeli wapi.Hata sasa hivi ukikata Precision Air unapata Emails kama zote.
Kwani inakuwa haioneshi kule ulipofanyia booking?Precision wako vizuri unapata notification kuanzia kwenye simu ila ATCL sijui Matindi na wenzie wanafeli wapi.
Unalipa kisha unakuwa Huna uhakika kama malipo yako yamepokelewa ama laa
Acha tu sasa online booking ndo rahisi mazingira mengine hao agents hawapo kama huku migodiniKwani inakuwa haioneshi kule ulipofanyia booking?
Mimi kwenye hizi AirTanzania naendaga kwa mawakala wao kabisa kununua ticket naondoka nanuhakika.
Hakuna kitu kama hicho...labda atcl ya AustraliaATCL gani unayoizungumzia wewe, hawa sikuhizi wanakuapdate kwa email tangu unafanya booking, kama umeilipia, au ime expire unaataarifiwa. Tena siku hizi wana online service ya kucheck-in service. Huhitajiki kufika epairport or kwenye ofisi zao kuchek in endapo utakuwa umejisajiri kwa huduma hiyo. wacha urongo
Mbona ipo mkuu? Mimi natumia sana ATCL, na wana hiyo huduma kama alivyoeleza, siku hizi mimi hata check in nafanya online tu mkuu.Hakuna kitu kama hicho...labda atcl ya Australia
Migodini huko zenu ndomAcha tu sasa online booking ndo rahisi mazingira mengine hao agents hawapo kama huku migodini