Serikali imekodi ndege ya ATCL ktk safari za rais nchi za nje hivi karibuni. Kwa muonekano wa haraka itaonekana shirika limefanya BIASHARA kubwa. Atcl inamlikiwa na serikali kwa 100%. Wataalamu wetu nao wamegeuka wana siasa, kuyasema ambayo mioyoni mwao hayamo. Kama kuna mizigo
ilisafirishwa wakati wa safari hizo na kuliingizi shirika mapato, well and good. Vinginevyo kwa serikali kimapato ni sawa na kutoa pesa kwenye wallet na kuiweka mfuko wa suruali.