KERO ATCL imulikwe huenda kuna hujuma, ratiba za safari zao hazieleweki

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Samaki Singa

Senior Member
Joined
Nov 20, 2016
Posts
191
Reaction score
194
Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.

Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.

Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?

Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
 
Ushauri wangu, nenda uwanja wa ndege vizia mahali ukiona ATCL imeandikwa Kizimkazi kimbilia kapande.
 
Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.

Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.

Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?

Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
Wangepelekwa mahakamani wakalipa fidia wangeshika adabu! Shwaini!
 
Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.

Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.

Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?

Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
Hizi lawama wala usizikwepeshe kwa Samia, yeye anahusika na hovyo hii na anapaswa kuwajibishwa siku ya kupiga kura.
 
  • Thanks
Reactions: I M
Hehehehe hii imewatokea tena wasafiri wa Mwanza to Dsm siku ya leo tar 17/06. Ticket wamekata za saa 0100AM, mtu anaripoti saa 2200 tar 16/06 anaambiwa ndege yake ishaondoka 2100 tar 16/06....

Na ni wachache waliotaarifiwa kuhusu muda wa safiri kurudishwa nyuma.
 
Khaa! yaani watu wanaamua tu kurudisha muda wa kusafiri nyuma1 huu ujinga kabisa
 
Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.

Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.

Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?

Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?

Hili Shirika wasipo libinafsisha au niseme kuwapa Private Sector, linaenda kutuletea deni la mabilioni kama sio trilioni.
By the way, Mbunge Msukuma alisha tuambia kuwa, Serikali hawawezi kufanya biashara, kila biashara wamefeli!!!
 
Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.

Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.

Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?

Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
Tuna poor record ya ku manage miradi mikubwa. Why wasiajiri raia wa nie wenye uzoefu na kuendesha mashirika?
Wapewe kwa muda shirika ,likisha kaa sawa basi mbongo achukue
 
Kioja kilikuwepo Mza tarehe 15/6 abiria wameshapanda wakateremshwa kwamba ndege ina hitilafu wakaja kuondoka asubuhi ya 16/6.
 
Walipigia sim siku eti wanarudisha safari nyuma kwa masaa eti badala 11 jioni KIA niende uwanja wa ndege wa Arusha saa 9 hawa jamaa yaan waache hii biashara. Nikawaambia siendi nikaja kupanda ndege inatoka entebe Uganda saa moja jioni kwenda DSM
 
Back
Top Bottom