Samaki Singa
Senior Member
- Nov 20, 2016
- 191
- 194
Kila alipotia mkono wake yule jamaa imekuwa hasara tupu. Mama anajikaza tu mambo yaende lakini kwa gharama kubwa sana.Ndege zinatumiwa bure na viongozi wa ccm, unategemea nini?
Ushauri wangu, nenda uwanja wa ndege vizia mahali ukiona ATCL imeandikwa Kizimkazi kimbilia kapande.Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.
Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.
Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?
Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
Wangepelekwa mahakamani wakalipa fidia wangeshika adabu! Shwaini!Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.
Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.
Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?
Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
Hizi lawama wala usizikwepeshe kwa Samia, yeye anahusika na hovyo hii na anapaswa kuwajibishwa siku ya kupiga kura.Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.
Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.
Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?
Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
Kama ni hasara tupu. Anajikaza tu ili mambo yaende wapi?Kila alipotia mkono wake yule jamaa imekuwa hasara tupu. Mama anajikaza tu mambo yaende lakini kwa gharama kubwa sana.
Khaa! yaani watu wanaamua tu kurudisha muda wa kusafiri nyuma1 huu ujinga kabisaHehehehe hii imewatokea tena wasafiri wa Mwanza to Dsm siku ya leo tar 17/06. Ticket wamekata za saa 0100AM, mtu anaripoti saa 2200 tar 16/06 anaambiwa ndege yake ishaondoka 2100 tar 16/06....
Na ni wachache waliotaarifiwa kuhusu muda wa safiri kurudishwa nyuma.
Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.
Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.
Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?
Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
Akili fupi hii ionewe hurumaKila alipotia mkono wake yule jamaa imekuwa hasara tupu. Mama anajikaza tu mambo yaende lakini kwa gharama kubwa sana.
Tuna poor record ya ku manage miradi mikubwa. Why wasiajiri raia wa nie wenye uzoefu na kuendesha mashirika?Kuna haja ya kuimulika ATCL, Shirika la Ndege la Taifa.Sasa hivi ratiba zake hazieleweki hadi kufikia hatua ya kuwatelekeza wafasiri bila kuwapa sababu za msingi za kufanya hivyo.
Usiku huu wa tarehe 17 June. 2024 abiria wa ndege namba TC 103 iliyoondoka Mwanza saa 4.00 usiku "wametelekezwa" Uwanja wa Ndege wa Abeid Karume Zanzibar bila kuelezezwa sababu za kutotua Dar es Salaam.
Hivi tukisema hii ni hujuma tutakuwa tunakosea? Waziri wa Uchukuzi anajua kinachoendelea na mbona yupo kimya?
Hivi watendaji wa serikali kwa nn mnamgombanisha Rais, Dr Samia na wapigakura wake?
Sgr hiyoo, muda si mrefu utasikiaaa yalaaaahhh