To be honest ATCL hapo wanafeli big time,Aisee hii sasa ni hujuma. Nikiingia kwenye ndege nipate ndio wao wapo najifanya nimeshikwa na kifafa, nikiamka naitisha refund. Afadhali nikapande daladala, roho safi! [emoji1][emoji1][emoji1]
Suala sio uzungu mkuu, suala ni Kazi yenyewe,Hao wanawake ni warembo tuu. Tatizo ni kuwa waafrika tuko na tatizo la ukoloni. Yaani urembo ni pamoja na features za "kizungu."
kazi ya Ukunga ingewafaa zaidiTuache ubaguzi jamani, so hao kina dada wanafaa kufanya kazi gani? Au ukihudumiwa na huyo dada ndege haitaenda the required destination?
Ndugu yangu hamna cha ubaguzi wala nini. Ndio biashara hiyo. Kuwavutia wateja kupitia wanachokiona kwa macho ndio kila kitu kwenye biashara za aina hii.Tuache ubaguzi jamani, so hao kina dada wanafaa kufanya kazi gani? Au ukihudumiwa na huyo dada ndege haitaenda the required destination?
Kwani hawana taaluma ya utumishi, hawasomea hizo kozi, au wewe unajua vigezo vya kuwa mhudumu wa ndege ambavyo hawajakidhi,To be honest ATCL hapo wanafeli big time,
Hao kina Mwajuma ndalandefu kuwa kwenye Cabin crew inaonesha hatuko serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unawavitiaje wateja kwa wanawake wa aina hii wenye sura za baba zao? Embua angalia walivyo kaa tuu eh?Tuache ubaguzi jamani, so hao kina dada wanafaa kufanya kazi gani? Au ukihudumiwa na huyo dada ndege haitaenda the required destination?
Tatizo sio hivyo vigezo unavisemea. Unajua yale mapokezi ya kwanza mgeni anapoingia kwenye ndege huwa yana maana kubwa sana.Kwani hawana taaluma ya utumishi, hawasomea hizo kozi, au wewe unajua vigezo vya kuwa mhudumu wa ndege ambavyo hawajakidhi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hii smile jomaa imekubali, hata ndege ikipotelea baharini haitakuwa image mbaya sana ya mwisho. 😀