ATCL kujigamba kuhudumia wateja 60,000 kwa mwezi ni failure. Ni wazi kuwa ndege nane zilinunuliwa kwa cash bila kufanya tathimini yakinifu

What's your point boy?
 
Abiria 60,000 ÷ ndege 8 = 7,500 kila ndege inabeba abiria 7,500 kwa mwezi.

7,500 ÷30 =250. Kila ndege inabeba abiria 250 kwa siku.
Takwimu za kubumba hizo kuna siku abiria hawafiki hata 20 sote tumeona malalamiko watu wanasema
 
Vitu vingine kuviombea ni kama kumjaribu Mungu tu. Duniani kote na hata kwa majirani zetu hiyo biashara ni msala sasa wewe una nini cha tofauti mpaka ufanikiwe?
 
"AKILI ZA KUAZIMA CHANGANYA NA ZAKO".

"AKILI ZA KUAZIMA HAZIFIKIRI KITU".

"AKILI ZA KUPEWA HAZIKUMFAA ALIYEKUPA".

"AKILI ZA KUAMBIWA NI BORA ZA KUSIKIA".

"AKILI ANAZO BINADAMU MNYAMA ZAKE SILIKA''.

Akili, akili ziko wapi??!------🤣
 
Namna nzuri ya kutumia kodi zetu ni kuwa na mipango mizuri ya matumizi. Huwezi kufugua Atcl huku hujui kama soko la ndani lipo vizuri.
 
Abiria 60,000 ÷ ndege 8 = 7,500 kila ndege inabeba abiria 7,500 kwa mwezi.

7,500 ÷30 =250. Kila ndege inabeba abiria 250 kwa siku.
Umejumlisha na Abiria wa CHATO au umewasahau?
 
Abiria 60,000 ÷ ndege 8 = 7,500 kila ndege inabeba abiria 7,500 kwa mwezi.

7,500 ÷30 =250. Kila ndege inabeba abiria 250 kwa siku.
Na hili swala ni la uongo Pia abiria 250 per day kila ndege!!?
 
Maana yake wanahudumia 0.1% ya population halaf yanakenua meno kama mazuzu, pumbavu kabisa
 
60000 kati ya mil 60?
kwan mwanzon walikuwa wanahudumia milion ngap? ujue hata kipindi inakuja internet ilionekana haina umuhimu kwasabab watumiaji walikuwa wachache wenye uwezo wa kupata devices znazo ingia internet lakin leo internet ni muhimu kuliko maziwa
 
Soma mada husika, kisha uchangie.
 
Hawa jamaa ni wapika data wa nguvu, kuna jamaa anaitwa Idugunde nilimwambia hao jamaa ni wapika data wa nguvu. Alijifanya kuniletea taarifa ya kupika ya ATCL.
We jamaa mbona sikuelewi? Kwa hiyo hata watu 60000 per month wamepika?
 
Soma mada husika, kisha uchangie.
nmeuliza kwan mwanzo walikuwa wanabeba abiria wangapi? ili tujue kama idadi inaongezeka au inashuka. kama inashuka haina haja ya shirika kujigamba na kama inapanda wako sawa watafika huko unako taka wewe
 
60,000 gawia 60,000,000 mara 100.
 
60,000 gawia 60,000,000 mara 100.

upo sahihi lakin angalia mwanzo walikuwa wanapata wangapi? mfn mwanzo ilkuwa ni 10,000 sasa wana 60,000 hapo wameongeza sizan kama western wao walianza tu na million in a single moment
 
Kwa Nchi yenye vivutio vya utalii vingi ndege ni sehemu ya kurahisisha ili kupata watalii wengi na kuwasafirisha kwa kujali muda tatizo zimenunuliwa nyingi kwa mkupuo na cash serikali inadhaminika isingefanya hivyo wangenunua hata mbili tuu kwa mkopo ili waone zinakwendaje na wangepata moja kubwa na ingine ndogo wangefanikiwa ila wamenunua ndege Kama bus za air msae eti zipishane daah...
 
upo sahihi lakin angalia mwanzo walikuwa wanapata wangapi? mfn mwanzo ilkuwa ni 10,000 sasa wana 60,000 hapo wameongeza sizan kama western wao walianza tu na million in a single moment
Yaani unashindwa kuelewa wamefeli wapi? Kama tanzania ina watu mil 60 alafu soko lako linapata 60 elfu basi wewe hujui kupanga. Maana bora uwe na ndege tatu ziwe busy kuhudumia hao watu kuliko midege 8 ambayo haina tija.
 
60000 kati ya mil 60?
Ni vyema ukatoa vijana na watoto katika hao 60 Mil. ambao ndio asilimia kubwa. Uangalie unapateje hao wapanda ndege 15ml. Weka pia athari za Corona. Baada ya hapo, kama una madongo ya kuwagonga, wagonge tu vinginevyo na wewe utakuwa uko kisiasa pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…