ATCL kujigamba kuhudumia wateja 60,000 kwa mwezi ni failure. Ni wazi kuwa ndege nane zilinunuliwa kwa cash bila kufanya tathimini yakinifu

Kuna chama wanapenda namba sana huku hesabu ni changamoto kwao..
 
Ni muda sasa atcl ijikitee kuangalia masoko mapya. Solo la india tayari lime tik sasa ni muda mwafaka kuja na routes mpya.
 
Namna nzuri ya kutumia kodi zetu ni kuwa na mipango mizuri ya matumizi. Huwezi kufugua Atcl huku hujui kama soko la ndani lipo vizuri.
Soko haliji siku moja.

Soko linajengwa na huduma ambzo unazitoa tayari.
Kwahiyo ilipasa huduma ianze na soko kuendelea kuimarishwa taratibu.
Kuna mbinu nyingi za kutafuta/kuongeza masoko,mojawapo ni hiyo.
 
We jumbuka kigoma ni ruti moya, ni kawaida ndege kupungukiwa abiria, kuna jamaa alipost humu alipanda ndege kutoka wapi sijui kuja tz akajikuta abiria ni yeye pekenyaje.
Kwahio??
 
Ndege 8 zinabebaje watu milions kwa mwezi Mkuu? Ulitafakari vema kweli?
60.000 ni kidogo sana maana ni 2000 per day au 1000 per sector.ndege zao zinz capacity ya abiria 800 so zinaruka mara moja kwa siku.
 
Route ya Kigoma nilipanda Juma lilopita tulikua kila abiria kajichahulia siti yake, wachache mno hadi nikataka kuuliza kwanini tuharibu kodi zeru wenyewe kiasi hiki?
Acha uongo, Route ya Kigoma ni moja kati ya Route zinazoingiza pesa nyingi lwa ATCL. Inatumiwa na wafanyabiashara wa Congo, Burundi na Kigoma pia na ndiyo sababu hata idadi ya safari inaongezwa kila uchwao. Mimi ni mmoja wa wasafiri wa route hii kupitia ATCL na nakuhakikishia ni shughuli pevu kupata tiketi ya ATCL Kigoma - Dar maana abiria ni wengi mno.
 
Yaani unashindwa kuelewa wamefeli wapi? Kama tanzania ina watu mil 60 alafu soko lako linapata 60 elfu basi wewe hujui kupanga. Maana bora uwe na ndege tatu ziwe busy kuhudumia hao watu kuliko midege 8 ambayo haina tija.
We ni mwehu kumbe! Ndege 8 ulitaka zihudumie watu milioni 60 kwa mwezi!!????
Kwa idadi hiyo ya watu 60k kwa mwezi (kama ni kweli) basi ATCL inaenda vema na uwekezaji una tija.
 
Yaani unajifanya nsafiri ni wewe tu? Nikiweka hapa ticket zangu bado uattendelea kuniita muongo!?
 
Yaani unajifanya nsafiri ni wewe tu? Nikiweka hapa ticket zangu bado uattendelea kuniita muongo!?
Porojo tupu, huna hizo tiketi na huwezi kuweka. Kwa namna ulivyoandika hujawahi kusafiri kwa ATCL Dar - Kigoma.
 
Dikteta anafanya maamuzi peke yake hakuna wa kuhoji wala nini?
 

ni bora inge kopa ili kama biashara haiendi vizuri idhurumu (isilipe deni) sio?
 
ni bora inge kopa ili kama biashara haiendi vizuri idhurumu (isilipe deni) sio?
Hapana deni wanalipa tuu mdogo mdogo kama yalivyo madeni mengine ndege sio magari unanunua nyingi wakati huna uhakika wa biashara...
 
ATCL imefufuliwa nyakati ambazo usafiri wa ndege unapitia wakati mgumu sababu ya COVID-19...

Sijui kama shirika hili litaweza kutusua
 
Hapa ukiangalia kwa watu 60m unakosea kwasbabu ndege ziko 8..Kitu cha kujiuliza Je hizo ndege zinabeba idadi ya abiria wanaohitajika kutokana na uwezo wa ndege wa mwezi..Kwababu haiwezekani basi la abood lipigiwe hesabu kwa abiria wote wa ubungo kujua faida. Ila ni ina uwezo wa kubeba abiria wangapi na inabeba wangapi
 
Hoja hapa ni idadi ya watu nchini Tanzania,alafu uwiano wa watu kuweza kupanda ndege,chekecha akili yako.
Kama hupandi wewe sio lazma wote wasipande nakama unapanda wewe sio lazma wote wapande ndege zilizopo hazikidhi idadi ya mwananchi lasivyo unamanisha mkuu anunue nyingine ndege kama 500 hivi ambapo hata USA sio wote wanapanda ndege


Sio wote wanatumia usafir wa mabus kuna siku utasema barabara hazifai au leli haifai kwqkuwa sio wote wanatumia q such kind of trqns
 
Anakaroho ka kichawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…