Atcl kuongezewa kitita-

Risk taker

Member
Joined
Jan 20, 2009
Posts
35
Reaction score
0
Kampuni ya ndege nchini-ATCL- kuongezewa kiasi cha sh. bilioni 2.6

2009-01-30 12:34:45
Na ITV Habari


Serikali kupitia wizara ya miundo mbinu imepanga kuliongezea kampuni ya ndege nchini-ATCL- kiasi cha shilingi bilioni 2.6 kati ya shilingi bilion 4.5 iliyokwishazitoa na kufanya jumla ya fedha itakazotoa kwa shirika hilo kufikia shilingi bilion 7.1 ambazo zitatumika katika kuliongezea nguvu shirika hilo.

Waziri wa miundo mbinu Dkt Shukuru Kawambwa amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa makabidhiano ya ripoti ya taarifa ya kikundi kazi kuhusu hatua za kuimarisha kampuni ya ndege Tanzania-ATCL.

SOURCE: ITV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…