Tatizo ni kwamba kila kitu kimetawaliwa na siasa,shirika halina ndege halipewi mtaji wa kutosha kutoka serikalini wanapewa visenti vya mishahara tu ,kuna watu wanataka hili shirika life kabisa kwa sabau zao binafsi kama walivyofanya kwa General Tyre
Watu bwana,
Wafanyakazi 200, Ndege hakuna, eti wanazindua website leo.
Haina tofauti na Mattaka aliepita eti katika vyote, ye anajivunia kuzindua nembo tu!!!
hapo ndio ujue kuwa hizi ajira walipeana kiundugu na hakuna mtu mwenye strategiki za kuendeleza kampuni na kuendana na technology ya sasa hivi. Sitashangaa kukuta mtu aliyesomea udaktari au u nesii akifanya kazi pale.kwa hiyo msitegemee mambo mapya wala nini