Tetesi: ATCL lazima ife tu kama mtu mmoja amefikia hatua ya kwenda "kutanua" na Airbus kijijini kwao

eminent luxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Posts
343
Reaction score
358
Nikwamba chadema imeuliwa na wanachadema wenyew [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kilicho baki nichuki tu Roho nyeusi tu
 
Nikwamba chadema imeuliwa na wanachadema wenyew [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kilicho baki nichuki tu Roho nyeusi tu
Eti na wewe kuna watu wanasema tumezaa! acha tuzae maana hatuna namna ya kujua kijacho kina faida gani!
 
Mmmh!.....bangi hizi
Afadhali bangi , huyu wazazi nao wanasema tuna mtoto. mama alibeba mimba miezi tisa, akanyonyesha.... akafua mikoja na mavi .... matokeo ndiyo haya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…