Haaa..haaa
Nimeipata hiyo katika nusanusa...!
Actually wameambiwa wabandue posts/matangazo waliyokuwa wameyabandika kila mahali kwenye jengo la kuondokea abiria!
Ushindani bomba sana...
Yaani srikali ni serikali bana..watu hapa wanapiga msosi wa hatari.
ATCL wameandaa pilau la uhakika kwa wageni na raia wote wa maeneo ya huku airport, wakati shirika ndo linajitahidi kujifufua!
Ndo hivyo lakini...huenda wakawezea!.
Kaka naona leo unafuraha isiyo kifani!
Na wewe unalikamata lipilao la ATCL?
Ni aina ya DASH-8
Pilot wake Mhindi, naambiwa anaitwa Pandya!
Kutoka Mkoani kuna!
-iSDORI sHIRIMA AMBAE NI mKUU WAmKOA,
-fELIX mREMA, mBUNGE WA aRUSHA mJINI,
-Wakurugenzi mbalimbali wa Makampuni ya tours, ambao wamealikwa kushuhudia mabadiliko haya makubwa ya sekta ya Usafirishaji...
Alafu kwa nn bei zao zipo juu?
Tupeni nauli jamani tuone ka niza ushindani
Thanks for the updates PJ, well done.1636GMT ...WOOOOOW...nGOMA HEWANI...
nA SHUGHULI NDO INAISHAISHA!
Ndo tunacheki jinsi ya kurudi mtaani sasa.
Ni aina ya DASH-8
Pilot wake Mhindi, naambiwa anaitwa Pandya!
Kutoka Mkoani kuna!
-iSDORI sHIRIMA AMBAE NI mKUU WAmKOA,
-fELIX mREMA, mBUNGE WA aRUSHA mJINI,
-Wakurugenzi mbalimbali wa Makampuni ya tours, ambao wamealikwa kushuhudia mabadiliko haya makubwa ya sekta ya Usafirishaji...
Wamebakiza mmoja mwafrika wanafikiria jinsi ya kuongeza wahindi watanosasa uko arusha nasikia wamepunguza watu wameacha 1 arusha ataweza kweli kwa kasi mpya kama hii....
Guys that's RACISM , huyo rubani ni Mtanzania !
Au Watanzania ni watu weusi tuuu ?
Bravoo PJNaambiwa bei ya DAR/ARUSHA VIA ZANZIBAR NI 180,000/=
Kwa hakika bei hiyo ni ya kawaida sana, na almost mashirika yote yanacharge bei hiyo kwa route hiyo.
Pundamilia, umetukumbusha kitu cha msingi sana, naamini wengi tulishasahau!..BravolKwa faida ya wasomaji, kama historia kweli inajirudia basi ATC inabidi ijihadhari kwa mara nyingine tena.
December 02, 2002 ndiyo siku ambayo serikali ilikabidhi ATC mikononi mwa mbia South African Airways (SAA) - kama Stategic partner.
Leo majira kama yale tunasikia matukio makubwa tena yanayoihusu ATC.