Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ni kitu kimoja aseeHivi unawezaje kutenganisha Serikali,Polisi,Bunge na CCM???
Tukiendekeza mawazo ya aina hii CCM watazidi kutumia mali za umma hovyo, kilichopatikana kwa kodi za watanzania bila kujali vyama vyao, ni vyema kikatumiwa kwa discipline kwa kujali mchango wa wote.Hivi unawezaje kutenganisha Serikali,Polisi,Bunge na CCM???
Hakuna haja ya kuumizana , kila mtu ashinde mechi zake tuNgoja tuone nani mshindi katika hii session
Mkuu.Tukiendekeza mawazo ya aina hii CCM watazidi kutumia mali za umma hovyo, kilichopatikana kwa kodi za watanzania bila kujali vyama vyao, ni vyema kikatumiwa kwa discipline kwa kujali mchango wa wote.
Wananchi ndio tuna nguvu zaidi ya wanasiasa, hao wanasiasa huwa tunawachagua kama wawakilishi wetu ili tuwatume kupeleka mawazo yetu panapotakiwa.Mkuu.
Haya mawazo wanaoweza kuyasitisha ni Wanasiasa tu..wewe mwananchi usijaribu kuyasitisha..Hivi unavyodhani Mbunge wako wa Upinzani ana Nguvu kushinda katibu wa wilaya wa CCM?
Tatizo, CCM wamewafundisha Mazezeta kuwa maslahi ya chama Kwanza, maslahi ya Taifa baadayeMkuu.
Haya mawazo wanaoweza kuyasitisha ni Wanasiasa tu..wewe mwananchi usijaribu kuyasitisha..Hivi unavyodhani Mbunge wako wa Upinzani ana Nguvu kushinda katibu wa wilaya wa CCM?
Mungu mbariki MwalimuYaani sisi shuleni tulikuwa na mwalimu ambae alitumia salamu hii;
Yeye akisema, UMASIKINI tunaitika NICCM..
Umemsahau na yule mwalimu aliyewafundisha akisema mabadiliko, nyie mnaitika ni lowasa.Yaani sisi shuleni tulikuwa na mwalimu ambae alitumia salamu hii;
Yeye akisema, UMASIKINI tunaitika NICCM...
Wamelipa ?Ili iweje sasa?? Yaani ATCL ianze kuonyesha malipo ya kila mteja kweli???
Enyi watu mbona mko hivi??
πππ Mapumbavu kweli.Yaani ATCL ianze kuonyesha malipo ya kila mteja kweli?
Enyi watu mbona mko hivi?
Ndio maana hawataki kusikia mambo ya katiba mpyaHivi unawezaje kutenganisha Serikali, Polisi, Bunge na CCM?