Wanandugu ni furha ya ajabu tuliokuwa tukiisubiria miaka nenda rudi hatmae nikiwa naelekea mwanza asb nkapata mshtko kuona watu wakiwa wengi pembeni ya ndege akaja mfanyakazi mmoja wa ndege :::nilipta mshtuko nilipoambiwa inaenda tabora then kigoma
hongereni atcl ahsanten kwa kutukumbuka